the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, wakati wa hafla ya uhamasishaji wa elimu ya nishati safi kwa viongozi wa baraza hilo.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo hilo Mrisho Gambo amesema nia ya Wazee kuunga mkono inaonesha dhamira na kiu yao kwa Rais Samia kuendelea kusalia madarakani ili kuendeleza kazi ya maendeleo Jijini humo