Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, wakati wa hafla ya uhamasishaji wa elimu ya nishati safi kwa viongozi wa baraza hilo.
Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo hilo Mrisho Gambo amesema nia ya Wazee kuunga mkono inaonesha dhamira na kiu yao kwa Rais Samia kuendelea kusalia madarakani ili kuendeleza kazi ya maendeleo Jijini humo
Arusha Ina Wazee?? Nmekaa pale kama wiki Tatu, Arusha ndio Mahali Wazee wanavuta bangi, wahuni wahuni, ni bodaboda , Arusha Wazee wajuaji ila hawana akili.
Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha limeunga mkono uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumteua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kugombea tena nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.
Wazee hao walionyesha uungwaji mkono wao kwa kauli ya “Mitano tena” mbele ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Mrisho Gambo, wakati wa hafla ya uhamasishaji wa elimu ya nishati safi kwa viongozi wa baraza hilo.
Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo hilo Mrisho Gambo amesema nia ya Wazee kuunga mkono inaonesha dhamira na kiu yao kwa Rais Samia kuendelea kusalia madarakani ili kuendeleza kazi ya maendeleo Jijini humo View attachment 3241814