Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Status
Not open for further replies.
Wewe mleta uzi huyo kiba yupo wapi? Acha uzushi kuwa mtu mzima mfyuuuuuuuu
 

Msamaha kwa kipiii?
 
Asante sana Ali Kiba. Umenipa sababu 100000 za kukupenda.
Soon nakuja na uzi wa shukrani zangu kwako.

Wajinga wazushi wakukurupuka walianza fyongo na akati kiba wetu hana upuuuzi...
Hebu kalete uzi tumpongezee
 
Watu wanakwenda na fursa, acha watu wapige hela ya nini kuendekeza umaskini na wakati neema imekufikia miguuni?
 
ama kweli njaa mwana malegeza,imelegeza hadi akili ya kiba mpaka kashindwa kujiongeza...oh!! tc shame
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…