Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Sep 9, 2021 #1 Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Sep 9, 2021 #2 Hadithi kibamia
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Sep 15, 2021 #3 Hai make sense kabisa
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,841 Reaction score 4,797 Sep 15, 2021 #4 Kunguru wa Manzese said: Hai make sense kabisa Click to expand... Sio rahisi kuielewa eti. Ila ina maana kubwa saaana Leo kuna mtuu kaamua kupiga kampeni/kuanza mchakato wa kisiasa Je wangekuwa wengine si ungekuwa uvunjifu wa sheria..?
Kunguru wa Manzese said: Hai make sense kabisa Click to expand... Sio rahisi kuielewa eti. Ila ina maana kubwa saaana Leo kuna mtuu kaamua kupiga kampeni/kuanza mchakato wa kisiasa Je wangekuwa wengine si ungekuwa uvunjifu wa sheria..?
Ilankunda1234 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 4,841 Reaction score 4,797 Sep 15, 2021 #5 Lycaon pictus said: Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo." View attachment 1930481 Click to expand... Wanawake kuna namna wanapanga mapinduzi Hii demokrasia ni kwa ajili ya wanawake? Wanaume hizi kauli za wanawake tungezitoa sisi leo tungeshtakiwa
Lycaon pictus said: Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo." View attachment 1930481 Click to expand... Wanawake kuna namna wanapanga mapinduzi Hii demokrasia ni kwa ajili ya wanawake? Wanaume hizi kauli za wanawake tungezitoa sisi leo tungeshtakiwa
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 827 Sep 15, 2021 #6 Video tafadhali
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Sep 15, 2021 #7 Kweli ni fupi ila yenye maana Nalog off