Hadithi fupi sana

Hadithi fupi sana

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia:

"Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
800px-Bewick_wolf-sheperds-1784.jpg
 
Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia:

"Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
View attachment 1930481
Wanawake kuna namna wanapanga mapinduzi

Hii demokrasia ni kwa ajili ya wanawake?

Wanaume hizi kauli za wanawake tungezitoa sisi leo tungeshtakiwa
 
Back
Top Bottom