Hadithi isiyo na mwisho

Hadithi isiyo na mwisho

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu,

Leo nataka tutengeneze hadithi ambayo kila comment itakua ni mwendelezo wake lakini tutastick na mahadhi (genre) ya hadithi hii.
Naanza:

ilikua ni siku ya mvua isiyokatika na miungurumo ya radi katika jiji la dar es salaam. siku hii haikua njema sana kwangu kutokana na biashara yangu ya kahawa na kashata kutouzika kwa siku kama hizi. nikiwa katika chumba changu cha kupanga maeneo ya kwa mnyamani, nikiutafuta usingizi kwa mbali huku mawazo Mungu yakiitawala nafsi yangu hususani kero ya mama mwenye nyumba kuhusu kodi yake ghafla nikastushwa na hodi iliyokua ikigongwa mlangoni mwangu. sikutarajia ugeni wa aina yeyote na wala sikua na ndugu wala rafiki ambaye angekuja kunitembelea. wakati bado naendelea kujiuliza, hodi iliendelea kupigwa na safari hii nikasikia sauti ya kike ikiomba nifungue mlango....
 
JINA LA HADITHI= SIRI YA MAFANIKIO YANGU
MTUNZI= CHIT CHAT MEMBERS
WAZO= donlucchese
. . . . . . . . . Nilihamka na kuusogelea mlango huku nikijiuza ni nani tena ananisumbua saa hizi.
Kwa kuwa ilikuwa ni sauti ya kike hata hofu yangu ilipungua kidogo kwani mara nyingi unapofika mwisho wa mwezi,mama mwenye nyumba huwa ni msumbufu sana kwa wapangaji wake.
Nilipofungua mlango nilikutana uso kwa uso na mtoto wa mama mwenye nyumba kabla hata sijamwambia chochote aliamua kuingia ndani na kusimama bila ya kuzungumza chochote.
Moyo ulianza kunidunda kwa mbali nikihisi labda anakagua achukue kitu chochote ndani ya chumba changu ili kulipizia kodi ya mama yake.
Nilijisemea moyoni "mimi ni mwanaume sitokubali changu chochote kitoke,kama ni kupigana leo tutapigana tu mpaka kieleweke"
mtoto wa mama mwenye nyumba alinitazama huku amekunja sura na kuniambia.
"hivi wewe ni mwanaume gani,hata kodi ya kulipa mwezi mmoja unaikosa,mwanaume suruali kapura mkubwa"
huwa sipendi dharau,tena kudharauliwa na mwanamke ni kosa kubwa kwangu.
Nilijikuta nikimsogelea binti huyo kwa hasira huku nimekunja ngumi . . . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:

ghafla nikakumbuka Miaka michache iliyopita kijijini kwetu chalinze. ilikua usiku mzuri sana kijijini kwetu hususan kwa kijana kama mimi kwakua kulikua na sherehe pale kijijini kwetu maarufu kama 'kigodoro'. japo sikua na. nguo za gharama kutokana na hali halisi ya maisha ya nyumbani wetu, nilijitahidi kuupara jeans langu kuukuu na tisheti yangu ya sprite ya kijani iliyofubaa na kumaliza na raba yangu aina ya Reebok iliyochakaa sana........
 
kichwani nikatupia kofia moja ya kepu,mi mwenyewe nilijiona bonge la handsome lakini laiti msomaji ungeniona,ungesema leo umekutana na kali ya mwaka.
Nilianza kusogea karibu kabisa na uwanja wa shule ya msingo uliokuwapo hapo kijijini kwetu.
Kwa mbali niliona bendi ya wanakigodoro ijulikanayo kama WAKUNA NAZI BEND wakiwaiingia uwanjani huku wapo ktk usafiri wa trekta,kwa sisi wa kijijini ulikuwa ni usafiri wa heshima sana.
Uwanjani watu walikuwa wengi sana na kama unavyojua masharo wa kijijini walitokelezea kwa pamba za ukweli.,wapo walivalia tshit na jeans lakin miguu wakakupigia miguu peku.
Niliangaza huku na huko nikimtafuta mpenzi wangu kalunde bila ya mafanikio yoyote.
"sasa mabibi na bwana,ladies and nanilii and gentlemen sasa hivi tunawaleta kwenu wakuna nazi band" ilikuwa ni sauti ya mc wa kijiji bwana Mlio wa paka.
Mi sikutaka kumsikiliza mc bali mawazo yote yalikuwa kwa kalunde.
Nilizunguka bila ya mafanikio,lakini ghafla nilitazama katikati ya uwanja na kumuona kalunde akisakata mangoma jamaa mmoja wa bend ya wakuna nazi.
Kalunde alikuwa msichana mrembo,rangi ya maji ya kunde,sauti akikusemesha tu tayari unapoteza dira.
Nilijikuta nipo katikati ya uwanja huku wakuna nazi wakiendelea na kutumbuiza,walishtukuona mtu wao akila kibano cha nguvu.
Muziki ulisimama ghafla na mgambo wawili wakanifuata ili wanitoe katikati ya uwanja lakin mgambo hao waliambulia ngumi za uso ziliwafanya wakimbie kama wamepigwa bomu vile.
Kila aliejaribu kuingilia alikula mkong'oto.
Nilimchukua kalunde na kuondoka.
Nilikumbuka ubabe wa zama hizo na kujisemea siwezi kudharauliwa na mtoto wa mwenye nyumba,na kuinua mkono,nilimpa kibao kimoja kilichomfanya atoe sauti kali.
"uwiii ananiua"
mtoto wa mwenye nyumba alidondoka chini. . . . . . . . . . . . .
 
............Yowe la mtoto wa mwenye nyumba lilisikika vizuri kwenye masikio ya mama mwenye nyumba aliyekua yuko ndani kwake anasikiliza radio yake kipindi cha 'mirindimo ya pwani'. Mama mwenye nyumba alitoka mkuku nakuingia chumbani kwangu bila hodi na kumkuta binti yake ameanguka chini akisijilizia maumivu ya kile kibao matatata.
"Mshenzi mwanaharamu wewe usiye na haya ndio unataka kumuua binti yangu sio? umeona kunizungusha kodi haitoshi sio? sasa nasema hivi, nampeleka binti yangu hospitali na nikirudi sitaki kukuta ndani ya nyumba yangu mwana kutoka kubaya wewe lasivyo nitakuletea polisi ma...na zako.........,
 
JINA LA HADITHI= SIRI YA MAFANIKIO YANGU
MTUNZI=CHIT CHAT MEMBERS]
WAZO= donlucchese

. . . . . Mwana kulaaniwa mkubwa we,mbwa kasoro mkia,ungelikuwa mwanaume wa kweli ungeenda kupigana na wanaume wenza,siyo kuja kutupigia binti zetu,mtoto wa malaya mzaliwa wa bar,ndo maana shida zimekujaa mwili mzima,kapurwa uso na mbele wala nyuma.
Nilijikuta nikizidi kuambulia matusi ya nguoni kutoka kwa mama mwenye nyumba.
Matusi ambayo alimtusi hadi mama yangu mzazi hali iliyonitia hasira zaidi.
Kijasho chembamba kilinitoka,mwili ulitetemeka kwa hasira,nilijikuta nikimsogelea mama mwenye nyumba huku jicho limenitoka kama muuaji.
"sikiliza we mama hata kama nyumba ni yako huwezi kunitusi kijinga jinga leo lazima nikufundishe adabu" nilikuta nikimwambia mama mwenye nyumba maneno hayo huku nikijiandaa kumfanya kama nilivyo mfanya mwanae.
We we we we we we nani,nani,wewe unaubavu wakunipiga mimi,mtu mwenyewe hauna mbele wala nyuma,niguse uone kitakachokupata.
Mama mwenye nyumba alikuwa akisema hayo huku akifunga kibwebwe vizuri.
Binti yake nae alikuwapo chini,aliinuka na yeye pamoja na mama yake walinisogelea.
Nilirudi nyuma ili kujua kwanini walikuwa wakinisogelea lakini ghafla nilijikuta nikikanya karai dogo lililokuwa na maji kwa ajili ya kuoshea vyombo vyangu vya kahawa.
Bahati mbaya nilipokanyaga nilidondoka chini kama mzigo . . . . . . .
 
Last edited by a moderator:
............Yowe la mtoto wa mwenye nyumba lilisikika vizuri kwenye masikio ya mama mwenye nyumba aliyekua yuko ndani kwake anasikiliza radio yake kipindi cha 'mirindimo ya pwani'. Mama mwenye nyumba alitoka mkuku nakuingia chumbani kwangu bila hodi na kumkuta binti yake ameanguka chini akisijilizia maumivu ya kile kibao matatata.
"Mshenzi mwanaharamu wewe usiye na haya ndio unataka kumuua binti yangu sio? umeona kunizungusha kodi haitoshi sio? sasa nasema hivi, nampeleka binti yangu hospitali na nikirudi sitaki kukuta ndani ya nyumba yangu mwana kutoka kubaya wewe lasivyo nitakuletea polisi ma...na zako.........,
maneno makali ya yule mama yakamuamsha binti yake mkubwa aitwaye mwajabu. huyu Mwajabu anasifika kwa ugomvi mpaka wakaamua wampatie chumba cha uani. yeye hapatani na nduguze wala wapangaji.
haijulikani anafanya kazi gani japo hutoka jioni na kurudi asubuhi, mwenyewe husema anafanyya kazi hotelini kama receptionist.
alipofika nakuona mama yake anasema anampeleka mdogo wake hospitali alianza kufoka huku akidundadunda kama kitenesi " hivi we mama unaakili!? umpeleke hospitalii we ndiyo umempiga? unajua bei ya matibabu? hapa aitwe balozi na twende kwanza polisi".
niliposikia polisi moyo ulilia paa.........
 
katika vitu ambayo nilikua naviogopa maishani ni neno 'polisi'. Ni polisi ndio walisababisha marehemu baba yangu kufungwa jela maisha kwa kosa ambalo hakulifanya na hatimaye kupoteza maisha gerezani akiwa bado anatumikia kifungo cha maisha na kumwachia mama mzigo mzito wakuendesha familia bila msaada wowote. Ni polisi pia ndio walifanya nitoroke kijijini na kuja kutafuta maisha mjini. Nilihisi hatar inayonikabili mbele yangu kwa maana ukiwekwa ndani na polisi kama ni kabwela kama Mimi basi unaweza ukajikuta unaozea selo. Nikajitutumua kiume na kuongea,".....,..
 
"jamani ni bahati mbaya, nisingeweza kumpiga Aisha. mara ngapi ananitukana na sijawahi......". "huyu siyo wa kuongea naye." alinikatiza Mwajabu. "inabidi aende akapigane na kina sudi ye si mwanaume". Mwajabu alikuwa akiongea hayo huku akiingia chumbani kwake na kutoka na simu na kuanza kumpigia balozi simu. nilivyosikia jina sudi ndiyo nikajua hatari iliyokuwepo.
sudi alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa mtaa. alikuwa ni pande la mtu na sifa yake kubwa mtaani ilikuwa uporaji na kuuza bangi. kwa kipindi hicho alikuwa yupo jela akitumikia kifungo cha miaka minne kwa kosa la kuibia abiria waliopata ajali.
kabla sijajua nini cha kuongea kujiokoa, mwajabu akaanza kuongea na balozi..........
 
.............akimwambia hata mambo ambayo mimi siyajui.
Mwajabu alimwambia balozi kuwa eti nilimtongoza aliponikatalia ndipo nikaamua kumpiga.
Maneno hayo yalizidi kunitisha na kuniogopesha zaidi,nilijua leo kama ni balaa lilikuwa limenijia.
Mambo ya moyo yaliongozeka,moyo ulidunda kwa kasi kama mtu alietoka kukimbia mbio ndefu.
Kama unavyojua mitaa ya uswahili panapotokea tukio dogo tu lazima watu wajae kama wamekuja kutazama mpira wa simba ya yangu au mechi ya ligi kuu ulaya.
Kila mtu alikuwa akinitazama mimi huku wakinong'onezana.
Nilijisemea kimoyomoyo, "yani deni la shilingi elfu tano ndo linanitesa hivi" ,niliamini kuwa umasikini ni kitu kibaya sana katika maisha.
Siku mlaumu sana mama mwenye nyumba kwani hata yeye ni umasikini na njaa zake ndizo zilizomtuma kunifanyia hayo yote.
Niliitazama nyumba ya mama mwenye nyumba,ilikuwa ni nyumba aloachiwa urithi na mume wake baada ya mume wake kufariki kwa kugongwa na gari wakati akitembea barabarani hali ya kuwa amelewa hadi hajitambui.
Nikiwa bado nimesimama huku nikiiwaza nafsi yangu kwa umasikini uliokuwapo,ghafla nilimuona sudi ameongoza na kijana mwingine aitwae Kababaa.
Kababa ni kijana mwenye sifa ya udokozi na mtaa mzima wanamjua,polisi wameshamzoea na mara kadhaa amekoswa koswa kuchomwa moto.
Nilipo waona roho ilinipasuka paaaaaaa . . . . . . . . . . . . . .
 
sio kwamba niliogopa, la hasha. niliwaza kwamba je vijana hawa walioshindikana laiti kama wakinizulia ugomvi na nikashindwa kuzuia hasira yangu je itakuaje. Katika mambo ambayo nilirithi kwa marehemu mzee wangu jambo moja kubwa ni hasira yake. Marehemu mzee wangu alikua ni mtu mwenye hasira sana na hata kipindi alkiwa amewaka kwa hasira ilitulazimu tukae mbali. L;icha ya umbo langu dogo dogo, nilikua nimejaaliwa kipaji cha kurusha masumbwi. Naam, nilikua mrusha masumbwi hodari. Wakati ipo darasa la sita kuna mvulana mmoja wa darasa la saba alininyang'anya mfuko wangu wa madaftARI Maarufu kipindi hiko kama 'sport'. Nilimuomba kiunyenyekevu anirudishie mfuko wangu lakini aligoma kurudisha mfuko huku akitukana kwa dharau na kuonesha majigambo mbele ya wasichana wa darasa la saba. Sikukawia......
 
nilimsogelea karibu na kumpa mtama mmoja uliompeleka chini na kumdondosha kama mzigo,alijaribu kuinuka lakini alikutana na ngumi moja ya shavu iliyomrudisha chini.
Darasa zima lilihamka kwa kelele,kila mwanafunzi alishangilia,kwani jamaa alikuwa akisifika kwa ubabe wa kupiga darasa zima na mimi nilisifika kwa sifa ya upole,sasa leo darasa lilikuwa likishuhudia kuwa na mimi nipo kwenye kikosi cha wababe.
Wapo waliojua labda nimemuotea tu jamaa kwa kwa kuwa hakujipanga kupigana na alishtukia tu akianza kushambuliwa.
Jamaa aliinuka na kuuweka mfuko wangu chini,alinisogelea na kunirushia ngumi moja ambayo niliikwepa na kumlima ngumi nyingine.
Jamaa alizidi kuwa mkali kwa kujua leo mwanafunzi mpole anamuaibisha.
Alinisogelea na kunipiga teke la kwenye paja,nilisikia maumivu labda kwa kuwa sikuwa na mazoea ya kupigana ovyo,hasira zilinipanda zaidi.
Nilijikuta nikimsogelea na kumpa makonde yasiyo kuwa na idadi,alipoona namzidi alianza kukimbia,nilimrukia na kumkata ngwara moja na kumdondosha chini.
Nilimfuata hapo hapo chini na kumpa vibao vya kutosha hadi wanafunzi wengine walipokuja kunishika na kuniamua.
Niliosogelea mfuko wangu na kuuokota,niliuvaa mgongoni na kutoka darasani.
* * * * *
watu walizidi kujaa,hata wapangaji wenzangu walinitazama kwa huruma wakijua kuwa leo nimeanguakia kwenye mikono ya kina kababaa basi sitoacha kuona cha mtema kuni.
Kababaa alinisogelea kama vile alishajua mwenye ugomvi ni nani,kabla hajaniambia chochote alinikata kofi moja zito la kutoa wenge lililosababisha nidondoke chini . . . . . . . .
 
kabla hata sijafika chini, nilisindikizwa na teke la mgongoni lilinifanya nitue chini kwa nguvu mithili ya kiroba cha mahindi kilichodondoshwa kwa bahati mbaya na kuli wakati anakipakia kwenye keria ya basi. Kababaa hakuniacha nipumzike, alininyanyua kwa kasi kwa kushika pindo za suruali yangu kiunoni na kunipiga kofi jingine kali usoni lililonifanya nipepesuke na kuona nyotanyota, kichwani nikajua leo balaa limenikuta. "Kababaa, hebu acheni kumpiga huyo kijana, serikali hapa, tafadhali msichukue sheria mkononi" ilikuwa ni sauti ninayoifaham, naam alikuwa ni mjumbe. Japo nilikuwa sijamuona kwa wakati huo nilipata faraja kwa kujua kuwa kichapo kitasizi kwa muda huo, maana mjumbe alikuwa nahaeshimika karibu na kila mtu pale mtaani. furaha yangu hiyo ya muda mfupi iliyeyuka fasta pale nilipomuona mjumbe akiwa sambamba na kijana wa umri kama wangu tu aliyevalia sare safi za jeshi la polisi, nikachanganyikiwa, jela hiyo nikaona naisogelea. Sikuiona njia yoyote ya kukwepa jela hasa nikiangalia hali yangu ya umaskini, nini ningewapa polisi waniachie? mawazo yalipita haraka sana kichwani kiasi hata sikusikia alichokua akiongea mjumbe, nilishtushwa ghafla na mkono uliopigwa begani kwangu kwa staili ya kunishtua, kumbe mjumbe alikuwa ..........
 
Alikuwa akiniita jina langu.
Nilimgeukia na kumtazama kwa kuhuzuni,huku nikijitahidi kudhibiti hasira zangu zisije zikanipanda na kujikuta nikifanya mambo ya ajabu na kutisha.
Wakati huo sudi na mwenzake kabaa walikuwa wamekimbia baada ya kumuona polisi na mjumbe.
Askari hakutaka maelezo mengi wala mjadala,alinifunga pingu na kunielekeza nimfuate kituo cha polisi.
Nilimuomba ruhusa ili nifunge chumba changu,askari huyo hakukataa chochote,niliingae nae ndani nikachukua kufuli na kukifunga chamba changu vizuri.
Nilimuomba mjumbe abaki na funguo yangu,mjumbe kwa kuwa alinijua vizuri basi alikubali na kuipokea funguo yangu.
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu niliingizwa kituo cha polisi.
Askari mmoja aliponiona tu alimuuliza mwenzake.
"haroo afande hiri ndio rire rijamaa rinarotongoza watoto wa watu halafu likikatariwa rinareta fujo
"
ndio afande,,,afande yule alimjibu.
Niliambiwa nivue viatu na mkanda,nami nikatii amri hiyo.
Kabla hata ya kuhojiwa chochote askari alinifungua pingu na kunipeleka chumba cha selo.
Nilitembea hatua mbili na kugeuka nyuma,nilimtazama mjumbe,mjumbe alionekana kama kunionea huruma,lakini hakunisemesha.
Niliingiza sero na mlango ukavungwa.
Nilichokiona hapo kilinishtua . . . . . . . . .
 
.......kwani niliona wenzangu waliokuwa selo wakiwa wametapakaa damu, nikajisemea "leo kazi ipo"
 
selo ile ilikua haitamaniki kwa uchafu uliokothiri na harufu kali ya kinyesi na mkojo. humo nilikutana na watu wa ajabu hali iliyozidi kunitisha. wengine sura zao zilikua zakutisha sana huku usoni wakiwa na ngeu. Nusura nipoteze fahamu kwa uwoga baada ya pande la mtu lilioneekana kama jambazi lilivoniita, "we dogo sogea hapa.....
 
. . . . . . Nilimsogelea huku roho ikinidunda.
Hakika mtu huyo alinitisha,nilikumbuka ubabe uliokuwa ukifanyika ndani ya film ya prison break.
Nilijihisi kuwa nimeingia katika ulimwengu mpya,nilijiona kama vile nimeshafika kuzimu.
Mbabe huyo alinisogelea na kuniomba nivue shati langu na kumpatia.
Kwa kuwa jamaa alikuwa akitisha mithili ya mcheza mieleka,mwili ulijaa misuli kama mwanamashinda wa michezo ya kuinua vitu vizito.
Macho makubwa na mekundu yalizidi kuniogopesha zaidi.
Nilijikuta taratibu nikifungua shati langu na kulivua kisha nikamkabidhi.
Kama vile jamaa hakuridhika,kwa sauti ya ukali alinitaka nimpe na suruali yangu.
Nilikumbuka mkasa wa mjomba wangu alipotea miaka kumi iliyopita,mjomba aliwahi kuniambia kuwa sero huwa kuna watu wababe ambao ukiwachekea au kujifanya dhaifu basi utaumia.
Jamaa alinilazamisha nivue suruali.
Nilitafakari kichwa kwamba mtaani nimepigwa,huku nako nivuliwe nguo,hapana niliona nadhalilishwa kama siyo kujidhalilisha mwenyewe.
Nilimwambia mbabe huyo ambae badae nilikuja kugundua kuwa jina lake ni tyson,kuwa siwezi kumpa suruali yangu.
Jamaa alipandisha hasira mpaka jasho likamtoka,nilijihisi nami uwoga ukinipungua kwani niliamini mimi ni mwanaume lazima nijikaze.
Tyson alirusha ngumi moja ambayo niliidaka na kumsukumia pembeni.
Sero nzima ilihamka na kila alinitaza akijua kuwa leo lazima tyson afanye mauaji ndani ya kituo cha polisi.
Tyson alinisogelea na kurusha ngumi za haraka haraka ambazo zote zilinikosa,nilikaza mkono na kumpa tyson ngumi moja ya chembe ya moyo.
Tyson alitoa mimacho mithili ya mtu anaejinyonga.
Tyson aliishiwa nguvu na kudondoka chini,povu lilianza kumtoka mdomoni . . . . .
 
Balaa juu ya balaa. mahabusu wote walisogea pembeni nakuniacha peke yangu nikijaribu kumpa huduma ya kwanza lakini cha ajabu povu ndio likazidi kutoka huku macho ya mbabe yule yakianza kubadilika rangi. niko wa nimepaniki nilipiga yowe zito la kumuita afande aje kutoa msaada. La haula, nilishuhudia mbabe yule akikata roho pale chini wakati maafande wakifungua mlango wa selo....
 
Sikuamini macho yangu, nilichanganyikiwa nikadhani niko ndotoni, mabalaa gani haya yananikuta mimi. wale Maafande walipoona jamaa yupo chini akirusha miguu walikimbilia kujaribu kumpa huduma Tyson lakini ndio akawa ameshafariki dunia, mahabusu wote walikuwa wamepigwa butwaa na macho yakinitazama mimi kuonyesha ndiye niliyehusika na tukio hilo. wale maafande hawakuhitaji aikolojia ya chuo kikuu kujua kuwa mhusika ni mimi. "Ameua, ameua!" zilikuwa ni kelele toka kwa mahabusu ambao pamoja na utukutu wao walionekana kushtushwa na tukio lile..mimi ambae nilikuwa nimechanganyikiwa na mfululizo wa mabalaa yaliyonikuta nilishtukia nikipigwa mtama mmoja wa kufa mtu na mmojawapo kati ya wale askari wawili walioingia selo. "Yaani unafanya mauaji kituo cha polisi, utatutambua"...mtama ule ulinipeleka chini kwa kasi lakini kwa vile sikujiandaa wakati naanguka nilijigonga ukutani na kuchanika sehemu ya kichwani ambapo damu zilianza kuvuja zikilowesha singlendi yangu nyeupe iliyofubaa. Yule Afande alikuwa ananisogelea pale chini....
********************
"Ameua, ameua!" mayowe hayo yaliwashtua afande wawili waliokuwa wamebaki kaunta na kuwafanya waondoke kwa kasi kuja selo kushuhudia hicho kinachopigiwa kelele....
 
Ghafla nikaona mahabusu mmoja mwenye nundu nyingi kichwani na shati lililotapakaa damu akimrukia afande mmoja na kumtia kabali ya shingo. Mahabusu wengine wakawa kama wamezinduliwa usingizini wakamrukia yule afande mwingine, tafrani kubwa ikazuka pale ndani. Wale askari wakawa wamedhibitiwa na kulazwa chini kama Tyson. Mahabusu mmoja , mwenye tuhuma za kufanya ujambazi na uporaji kwa kutumia pikipiki ya aina ya Boxer akawapiga sachi wale askari na kuwanyang'any a simu zao, akawapigia wenzake ambao hawakuwa mbali na kituo cha polisi . Baada ya muda si mrefu, mara kituo kikawa kimevamiwa na kundi la watu wenye silaha, wakafungua mahabusu. Bila kutarajia nikaona nimepata uhuru wa bila kupanga. Nikaamua kutoka mbio niende nisikokujua, mara yule mtuhumiwa wa ujambazi akanivuta na kuniambia huendi popote wewe tunandoka wote. Baadaye nikaja kujua kwamba ile vurugu yote ilikuwa ni mbinu tu ya kuwafanya wale askari waingie mahabusu ili wadhibitiwe na mahabusu wote mle ndani walikuwa kundi moja
 
Back
Top Bottom