Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Hongera Sana Mkuu CK Allan, kwa stori bab-K ni kama vile unasoma Mapigano ya Willy Gamba wakiwa na "Kikosi Cha Kisasi" kwenye Jiji la Kinshasa wakipambana na waasi waliojificha kwenye biashara za Magereji kama:Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri
Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
1. Garage Baninga,
2. Garage Papadimitrou
Lakini pia ni Kama vile unasoma Kitabu cha "Kufa Na Kupona" kinacho akisi Wizi wa Almasi pale Mwadui na Mapigano makali kwenye mji wa Maganzo yaloongozwa na Willy Gamba.
Mkuu CK Allan, you are the best among the few .