Hadithi: Madam President

Hadithi: Madam President

Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri

Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
Hongera Sana Mkuu CK Allan, kwa stori bab-K ni kama vile unasoma Mapigano ya Willy Gamba wakiwa na "Kikosi Cha Kisasi" kwenye Jiji la Kinshasa wakipambana na waasi waliojificha kwenye biashara za Magereji kama:
1. Garage Baninga,
2. Garage Papadimitrou

Lakini pia ni Kama vile unasoma Kitabu cha "Kufa Na Kupona" kinacho akisi Wizi wa Almasi pale Mwadui na Mapigano makali kwenye mji wa Maganzo yaloongozwa na Willy Gamba.

Mkuu CK Allan, you are the best among the few .
 
Uh!! Jamaa alikosaje cm,,kwamb 2004 technology ilikua chin kias hcho,!!!??
 
Wote mlioahidi vocha nitawaPM!
Na nitatangaza hapa hapa!

Ila kwasasa naomba kura zenu kati ya

MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA

Ipi ianze?

Kumbuka tukianza ni mpaka mwisho!!

Na pia ukijisikia kutoa bando we comment tu nitakujia PM🤗🤗🤗
 
WATUNZI MBADILISHENI HATA NAMBA YA KUANZA STORY...KILA SIKU STORY INAANZA NA HALI YA BARIDI KIMVUA CHEPESI...

TANGA KWELI TANGA...AU TANGA IPI...

MBADILISHEGE HATA SIKU MOJA...JUA LILIKUWA KALI SANA...
 
WATUNZI MBADILISHENI HATA NAMBA YA KUANZA STORY...KILA SIKU STORY INAANZA NA HALI YA BARIDI KIMVUA CHEPESI...

TANGA KWELI TANGA...AU TANGA IPI...

MBADILISHEGE HATA SIKU MOJA...JUA LILIKUWA KALI SANA...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Story zangu nyingine zitaanza na usiku wa manane mkuu
 
Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri

Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!

Hongera mkuu...
 
Ssz
Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri

Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
Keep it up the good work
 
Back
Top Bottom