Hadithi: Mpangaji

asante sana mkuu
 
Hongera mkuu, Hv vtu kumalizia inawezekana ila kuna mpuuzi mmoja ye kaz yake kutupanga tu na ole wake hyo Mei mosi asiweke huo mzigo ndo atajua hajui
 
Asante sana kaka mie mdau wako wa kimya kimya haswa kwa Mzee Mnyoka nilikuwa silali😁Mwenyeezi Mungu abariki kazi ya mikono yako ufike mbali zaidi 🙏
 
Asante sana mkuu,,kila la kheri kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeikubali sana imekaa vizuri, ahsante sana
 
Pamoja sana mkuu hongera kwa utunzi mzuri na kasi ya uhakika isiyo na kusitasita
 
Pamekucha
 

Merci bcp, nishatia kambi Sisteriii
 
Daaah aiseee now niko bored simulizi gani ya kijasusi yoyote ile nipe kina nisearch au tuma pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…