Hadithi: Mpangaji

Kuhusu kujua mambo ya kisheria nilifuatilia sana
Kipindi kile Cha "kesi ya mbowe" na wenzake
Nilijua sana mambo mengi kupitia ule Uzi!!

Kwahiyo mtakuta episodes za mahakamani utadhani ni kibatala!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu uko vizuri mwennyewe kwa stori kali kali, hongera sana.
 
Nimefurahia sana hii story. Naomba Asalaam Alaikum. Naombaunitag kwa story zako zote tafadhali.
Siku soma zilizotangulia Naomba msaada nizisome.
 
Duh!, nilianza kuisoma story hii leo mchana non-stop mpaka saizi ndo nimemaliza. Shukran CK Allan kwa simulizi bomba, ntakua naweka kambi kwenye story zako, hii nilichelewa kupata tag.
 
Nimefurahia sana hii story. Naomba Asalaam Alaikum. Naombaunitag kwa story zako zote tafadhali.
Siku soma zilizotangulia Naomba msaada nizisome.
Asante,
Kuna Mzaha wa Damu,
Kesi ya Mzee Mnyoka na Madam President
Zote ziko katika jukwaa hili
 
CK Allan anakuja na kisa kipya ndani ya mwezi wa saba hivi
utafaidi sana jamaa story zake haziboi na anamaliza zote
Safi sana,mm ndo nimeianza kwa mwendo wa kasi,nategemea kuimaliza chap kesho insha'Allah,kama bw CK Allan asiponikumbuka kwenye hio story mpya unikumbuke ww mkuu🙏
 
Asante mama,hii tag niliiachaga kiporo hadi niwe na muda wa kutosha,..na Leo natiririka nayo kama sina akili nzur 😂,
Thanx in advance mkuu ake🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…