Hadithi: Mpangaji

Hadithi: Mpangaji

"Sele alikua anakutana na wasichana wengi kila siku, na hata hapo walikuja wapangaji wengi tu wa kike na kuondoka lakini haijawahi kutokea msichana aliyeubamba moyo wake kama ilivyokuwa kwa Ester,"



Kumekuchaaaaaaaaaaa hapaaaa!!
Ngoja niendelee kusoma kwanza 🙇
Yan hapo best ushaihamisha akili kuwanza yajayo,😂
 
Ila sele naona km mstaarabu,ingekua Apostle (Analyse )angesha piga hadi mama mwaju😂,
Tena unaeza kuta mama mwaju mwenyewe nae yuko full msambwanda,na apostle ndo ugonjwa wake😂
Mkuu Mimi sio vegetarian, napenda sana nyama nyama 😅😅😅
 
Basi niseme Tena nawashukuru sana na in shall Allah tutaonana Tena kwenye MZAHA WA DAMU, Huko mbeleni , panapo majaaliwa
Wabilah towfiq
CK Allan
0746 266 267
insha'Allah tutaisubir mzaha wa damu,.....
Assalam alaykum warahmatullah.
 
Ya leadermoe inaitwa Wema ni akiba ; Usiache kutenda wema best mbona mtoa uzi ana mwezi mmoja tangu afariki !!
Innalillah😭😭😭
Huo uzi nilishaupitiaga kias flan ila siukumbuki kisa chenyewe kilikuaje,
Kumbe Alifariki?....
Dah....so so sad 😭😭😭
Humu duniani sisi ni wapitaj jmn
 
Back
Top Bottom