mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,237
Yan hapo best ushaihamisha akili kuwanza yajayo,😂"Sele alikua anakutana na wasichana wengi kila siku, na hata hapo walikuja wapangaji wengi tu wa kike na kuondoka lakini haijawahi kutokea msichana aliyeubamba moyo wake kama ilivyokuwa kwa Ester,"
Kumekuchaaaaaaaaaaa hapaaaa!!
Ngoja niendelee kusoma kwanza 🙇