Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

Kuna binti namfukuzia humu ndani jirani, acha kuni chafulia name...🤣
Ngoja nikushike kichwa uende na amani ya bwana na ukafanikishe jambo.

Hiko kichwa usiwekamo tafsiri zako humo maana huchelewi. 🤣
 
Kila simulizi weka uzi wake hapa utatuvuruga panua sijui Dr wa kansa etc, na comment zitakuwa nyingi sana sio rahisi watu kuona vipande vyote weka kila simulizi na uzi wake ujitegemee.
 
Kila simulizi weka uzi wake hapa utatuvuruga panua sijui Dr wa kansa etc, na comment zitakuwa nyingi sana sio rahisi watu kuona vipande vyote weka kila simulizi na uzi wake ujitegemee.
tusonge nayo hii hii na hiki kibarid 🔥
 
Msaada wa sh. 50 airtel money, bando langu linaenda ukingoni. Nimepungukiwa hyo tu.
 
Back
Top Bottom