Nourhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 1,196
- 3,026
Sitetei ushoga kamwe, tatizo ungempa nafasi mwandishi ujue atafikisha vp ujumbe labda ndo namna ya Danny kukoma umalaya wake kakutana na transgender,yes na watoto wa kiume wa 3 Alihamdulillah dua zangu kwa Mola kila siku Allah awalinde wanangu ajaalie wawe watoto wema.
Well said, sina shida na mawazo yako. Pili ni kweli kuna baadhi ya watu wanakemea hadharani ila nyuma ya pazia wanayafanya lkn Binafsi (personally) Ushoga haufai kabsa na hautakiwi kwa namna yeyote ile utetewe. I hope wew ni mama na possibly una watoto wa kiume kama mimi acha kuwatetea.