Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

Sitetei ushoga kamwe, tatizo ungempa nafasi mwandishi ujue atafikisha vp ujumbe labda ndo namna ya Danny kukoma umalaya wake kakutana na transgender,yes na watoto wa kiume wa 3 Alihamdulillah dua zangu kwa Mola kila siku Allah awalinde wanangu ajaalie wawe watoto wema.

Well said, sina shida na mawazo yako. Pili ni kweli kuna baadhi ya watu wanakemea hadharani ila nyuma ya pazia wanayafanya lkn Binafsi (personally) Ushoga haufai kabsa na hautakiwi kwa namna yeyote ile utetewe. I hope wew ni mama na possibly una watoto wa kiume kama mimi acha kuwatetea.
 
Mi Kama mwandishi napinga ushoga ...Ila spingi kuila Ile kitu kwa mwanamke😅
 
Aaaaah..... Hizi za kusoma madogo... Story nyepesi. Mi napenda story ambazo mtunzi anatumia akili. Nimeitwa kwa ajili ya kuja kusimamia maslahi ya wasomaji. Heading ni nyepesi nimesoma page ya kwanza nikaona nayo story ya kawaida. Basi nikawa nasubiria kama kutakuwa na malalamiko ikiwa hujamaliza au unadanganya sana hapo ndo nitakuja kuku saidia ujirekebishe.
🤣🤣🤣..ila we jamaa una visa sana, anyway huwa unaleta ladha fulani kwenye masimulizi ya watu. Nakupongeza.🤣🤣
 
Ila ma Dr wana kazi ngumu sana haswa wanaume,na Dr wangu ni mwanaume ndo alonizalisha kwenye ku push mtoto akanichana,ikabidi nishonwe nyuzi kadhaa baada ya kupona nikaona mbona nikinawa japo ni kwa nje nilipo shonwa nasikia kama kifundo kwa ndani ikanivuruga sana nikahisi ni uvimbe nikamwambia Dr akasema basi uje hospital nione siwezi jua ni nini,ikaenda halafu kama jana yake nime shave 😄halafu mie napenda manukato nikioga ninajikausha basi napaka nyuma ya masikio chini ya maziwa kwenye kitovu kinena mapajani nyuma ya magoti na kwenye makalio kwenye pressure point haswa za mikononi basi nikaenda fanya check up zingine nikamkumbusha na hio ishu Dr akasema panda kitandani nione basi nikapanda nishajisasambua yeye anavaa gloves ile anageuka na hivi mie li Shangazi jeupe nimenona 😂halafu tumbua limenyolewa soft naona Dr katoa macho anasogea naona na manukato kama yamvuruga hivi akapeleka kidole kukagua 😂akaniambia sio uvimbe ni nyuzi ya ndani hapo sehemu nilipofungia uzi kwa kweli Dr tunaheshimiana Ila nilimuona kavurugika 😂Mungu awape subra kwenye kazi yao ngumu kwa kweli wana mitihani mi kubwa ni kuvishinda vishawishi. Kama naona Analyse anatamani angekuwa yeye ndo Dr😂
Ila shangazi unabalaa wewe😋
 
Ndo mambo enyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi wewe mbona unanisumbua sana kukutafuta, hilo penzi jipya linafanya nichoke kukufanyia assignment zako! Unajua leo kilichotokea mtaa wa kati?! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza ukaelezea habari za Mashoga ukayapa promo mkuu na yapo huku. Wew tuletee vitu vya kina anna, nuzrat ant grace Atu na wengne ila haya yanayonuka nya temana nayo mkuu
Tunga yako, hebu tutoleee ujuaji wakooo hapa.
Mxxxxxiiiiieeeeew,
 
Well said, sina shida na mawazo yako. Pili ni kweli kuna baadhi ya watu wanakemea hadharani ila nyuma ya pazia wanayafanya lkn Binafsi (personally) Ushoga haufai kabsa na hautakiwi kwa namna yeyote ile utetewe. I hope wew ni mama na possibly una watoto wa kiume kama mimi acha kuwatetea.
Wee tutoleee utakatifu uchwaraaa wako hapa, tunga story yakooo
 
Mashoga wako toka enzi na enzi eti simulizi yake ndio ayape promo,halafu kwa uzoefu wangu wale wanaojifanya wanapinga sana jambo baya,wanajitia wacha Mungu wengi ndio kinga yao ya kujificha wao wasionekane ndo wale wale hakuna mtu anashabikia ushoga usagaji ila umejua ana taka kuelimisha kwa namna gani usimpangie mtu simulizi yake unaona vp temana nayo sio kupangiana.
Bora umuambiee huyooo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi wewe mbona unanisumbua sana kukutafuta, hilo penzi jipya linafanya nichoke kukufanyia assignment zako! Unajua leo kilichotokea mtaa wa kati?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaa upii tenaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanitag harakaa mnooooo
 
Mtaa upii tenaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanitag harakaa mnooooo

Nimekutag naona hufiki kulikuwa kumechachuka mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeambiwa mimi cocastic huko
 
Nimekutag naona hufiki kulikuwa kumechachuka mbaya [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeambiwa mimi cocastic huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba wee ni I'd angu mie??
Jamani hebu nambie, huo uzi uko jukwaa gani??

Fanya niende nikaswampee hukoo,
 
Mpaka nimebukua stori hii, ni dalili sasa kichupa kimejaa, inabidi atafutwe mtu anyonywe maziwa, na yule wa katikati ya mapaja,ikiwa 69 itapendeza kisha atiwe rungu kipepe..
 
Back
Top Bottom