so sad indeed, wanatafuta kichaka cha kuiba zetu hawa halotelYaani kuna mambo kwenye hii nchi yanasikitisha sana.
Baada ya kuzungumza na mhudumu wa huduma kwa wateja wa halotel, anadai nilijiunga na huduma inayoitwa hadithi ya kaundime.
Hadithi ambayo sikuwahi kuisikiliza hata siku moja achilia mbali huko kujiunga bila kujua.
Kusema ukweli haya mambo ya mitandao kukata hela kiholela, enzi za JPM sikuwahi kuyasikia. Nchi hii inaelekea wapi?
urewedii?pole sana,umeongea kwa uchungu sana kwa kweli inauma haya makampuni yanavyofanya sio poa na mbaya zaidi yote ni kama ndugu mchezo wao mmojaYaani kuna mambo kwenye hii nchi yanasikitisha sana.
Baada ya kuzungumza na mhudumu wa huduma kwa wateja wa halotel, anadai nilijiunga na huduma inayoitwa hadithi ya kaundime.
Hadithi ambayo sikuwahi kuisikiliza hata siku moja achilia mbali huko kujiunga bila kujua.
Kusema ukweli haya mambo ya mitandao kukata hela kiholela, enzi za JPM sikuwahi kuyasikia. Nchi hii inaelekea wapi?
Aiseee!!,Ukute wewe ndo mhusika wa kukata pesa watu kwenye mitandao ya simu.Pole sana..
Nje ya mada: Una kasauti kazuri sana, hakafai kulalamika kama ivo.