Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Yaani kuna mambo kwenye hii nchi yanasikitisha sana.
Baada ya kuzungumza na mhudumu wa huduma kwa wateja wa halotel, anadai nilijiunga na huduma inayoitwa hadithi ya kaundime.
Hadithi ambayo sikuwahi kuisikiliza hata siku moja achilia mbali huko kujiunga bila kujua.
Kusema ukweli haya mambo ya mitandao kukata hela kiholela, enzi za JPM sikuwahi kuyasikia. Nchi hii inaelekea wapi?