Hadithi ya kaundime?

Hadithi ya kaundime?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Yaani kuna mambo kwenye hii nchi yanasikitisha sana.
Baada ya kuzungumza na mhudumu wa huduma kwa wateja wa halotel, anadai nilijiunga na huduma inayoitwa hadithi ya kaundime.

Hadithi ambayo sikuwahi kuisikiliza hata siku moja achilia mbali huko kujiunga bila kujua.

Kusema ukweli haya mambo ya mitandao kukata hela kiholela, enzi za JPM sikuwahi kuyasikia. Nchi hii inaelekea wapi?
 
so sad indeed, wanatafuta kichaka cha kuiba zetu hawa halotel
 
Yaani kuna mambo kwenye hii nchi yanasikitisha sana.
Baada ya kuzungumza na mhudumu wa huduma kwa wateja wa halotel, anadai nilijiunga na huduma inayoitwa hadithi ya kaundime.

Hadithi ambayo sikuwahi kuisikiliza hata siku moja achilia mbali huko kujiunga bila kujua.

Kusema ukweli haya mambo ya mitandao kukata hela kiholela, enzi za JPM sikuwahi kuyasikia. Nchi hii inaelekea wapi?
urewedii?pole sana,umeongea kwa uchungu sana kwa kweli inauma haya makampuni yanavyofanya sio poa na mbaya zaidi yote ni kama ndugu mchezo wao mmoja
 
DSC_0366.jpeg
Nataman huyo mhudumu angekutana na huyu jamaa ampe chai kidogo.
 
Na hapo bado tozo za miamala. Yaani, basi tu!
urewedii?pole sana,umeongea kwa uchungu sana kwa kweli inauma haya makampuni yanavyofanya sio poa na mbaya zaidi yote ni kama ndugu mchezo wao mmoja
 
Pole sana..

Nje ya mada: Una kasauti kazuri sana, hakafai kulalamika kama ivo.
 
Back
Top Bottom