Pre GE2025 Hadithi ya Kiongozi Mkuu kuwa uchi na uhalisia wa hali ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
644
Reaction score
927
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili.

Hadithi:
Zamani za kale, kulikuwa na Mfalme ambaye alijali sana suala la unadhifu wa mavazi yake na alipenda kuonyesha kwa watu wote. Siku moja, wajanja wawili walimwendea na kumwambia wanaweza kumtengenezea suti ya nguo bora kabisa kutoka kwenye kitambaa kizuri sana. Walisema kitambaa hicho kilikuwa maalum sana. Kitambaa hicho kilikuwa hakionekani na wapumbavu na watu wa hali ya chini, yaani ukiwa mtu mpumbavu huwezi kukiona hicho kitambaa.

Kwa kuwa alikuwa na wasiwasi kidogo kama yeye mwenyewe angeona kitambaa hicho, mfalme alituma washauri wake wawili waaminifu waende kwanza kuona hicho kitambaa maalum. Bila shaka, hapakuwa na kitambaa kabisa, lakini hawakuwa tayari kukiri kwamba hawakuweza kukiona na hivyo wakakisifu.

Ujumbe wa kitambaa hicho maalum ulisambaa, watu wote wa mji walijawa na hamu ya kujua ni jinsi gani majirani zao walivyokuwa wapumbavu.

Mfalme aliruhusu wajanja hao wamvike suti yake mpya maalum, iliyotengenezwa kwa kitambaa hicho maalum, kwa ajili ya msafara kupitia mji. Ingawa alijua yu uchi, kamwe hakukubali kwa sababu alihofia kwamba labda alikuwa hafai na mpumbavu kwa kutoona kwamba alikuwa hajavaa chochote. Yeye pia alihofia kwamba watu wa mji wangedhani kwamba yeye ni mpumbavu.

Bila shaka, watu wote wa mji walimsifu sana Mfalme kwa mavazi yake mazuri, wakiogopa kukiri kwamba hawakuweza kuona mavazi hayo, mpaka mtoto mmoja mdogo aliposema: "Lakini hana nguo!"

Wazazi wa mtoto walishangaa na kujaribu kumnyamazisha mtoto, lakini mtoto hakuwa tayari kunyamaza. Walipojaribu kumziba mdomo mtoto huyo, aliwatoa mikono wazazi wake kinywani mwake, aliendelea kusema, "Mfalme yu uchi!" Baadaye, watoto wachache walianza kucheka na kujiunga naye.

Baadaye watu wazima walijiunga na watoto wao na kuanza kusema kwa sauti ya chini, "Lakini Watoto wako sahihi! Yule mzee hana nguo. Yeye ni mpumbavu na anatarajia sisi tuwe wapumbavu pamoja naye!"
 
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837.vLakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili.

Baadaye watu wazima walijiunga na watoto wao na kuanza kusema kwa sauti ya chini, "Lakini Watoto wako sahihi ! Yule mzee hana nguo. Yeye ni mpumbavu na anatarajia sisi tuwe wapumbavu pamoja naye!"
Labda Mambo yaharibike sana - Jk
 
Nikiwa shule ya msingi 1989 niliigiza hii stori kama Mfalme ila sikuvua nguo! Ahahahahaha!!!
 
Hamasa itolewe kwa sekta zingine zigome kuunga mkono wafanyabiashara
 
Huyu mama yetu kazi pekee inayomfaa ni kuimba au kucheza taarabu, kuongoza nchi hapana.
 
Ila kuna watu wa kashfa sana kuna sehemu kwenye hiki kijiji chetu chenye maendeleo panaitwa mafiati,shughuli zinazoendelea hapo usiku ni kama zile anazopambana nazo dc wa ubungo,sasa kuna jamaa juzi aliropoka kwamba maza aje hapo mafiati ajiunge na wenzake kuupiga mwingi usiku maeneo yale kwa kuwa ameshindwa kulipeleka jahazi inavyompasa
 
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili.

Hadithi:
Zamani za kale, kulikuwa na Mfalme ambaye alijali sana suala la unadhifu wa mavazi yake na alipenda kuonyesha kwa watu wote. Siku moja, wajanja wawili walimwendea na kumwambia wanaweza kumtengenezea suti ya nguo bora kabisa kutoka kwenye kitambaa kizuri sana. Walisema kitambaa hicho kilikuwa maalum sana. Kitambaa hicho kilikuwa hakionekani na wapumbavu na watu wa hali ya chini, yaani ukiwa mtu mpumbavu huwezi kukiona hicho kitambaa.

Kwa kuwa alikuwa na wasiwasi kidogo kama yeye mwenyewe angeona kitambaa hicho, mfalme alituma washauri wake wawili waaminifu waende kwanza kuona hicho kitambaa maalum. Bila shaka, hapakuwa na kitambaa kabisa, lakini hawakuwa tayari kukiri kwamba hawakuweza kukiona na hivyo wakakisifu.

Ujumbe wa kitambaa hicho maalum ulisambaa, watu wote wa mji walijawa na hamu ya kujua ni jinsi gani majirani zao walivyokuwa wapumbavu.

Mfalme aliruhusu wajanja hao wamvike suti yake mpya maalum, iliyotengenezwa kwa kitambaa hicho maalum, kwa ajili ya msafara kupitia mji. Ingawa alijua yu uchi, kamwe hakukubali kwa sababu alihofia kwamba labda alikuwa hafai na mpumbavu kwa kutoona kwamba alikuwa hajavaa chochote. Yeye pia alihofia kwamba watu wa mji wangedhani kwamba yeye ni mpumbavu.

Bila shaka, watu wote wa mji walimsifu sana Mfalme kwa mavazi yake mazuri, wakiogopa kukiri kwamba hawakuweza kuona mavazi hayo, mpaka mtoto mmoja mdogo aliposema: "Lakini hana nguo!"

Wazazi wa mtoto walishangaa na kujaribu kumnyamazisha mtoto, lakini mtoto hakuwa tayari kunyamaza. Walipojaribu kumziba mdomo mtoto huyo, aliwatoa mikono wazazi wake kinywani mwake, aliendelea kusema, "Mfalme yu uchi!" Baadaye, watoto wachache walianza kucheka na kujiunga naye.

Baadaye watu wazima walijiunga na watoto wao na kuanza kusema kwa sauti ya chini, "Lakini Watoto wako sahihi! Yule mzee hana nguo. Yeye ni mpumbavu na anatarajia sisi tuwe wapumbavu pamoja naye!"
Nakuandalia PHD, ujumbe umefika ulipokusudiwa.
 
Back
Top Bottom