Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
πππInasikitisha sana wakuu
Kwann sawaππ½πππ€£π€£π€£π€£π€£
Basi sawa.
Wanafunzi vilaza na prof anajua hiloπππππ stori kidogo
View attachment 3097745
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.
Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.
Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"
Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".
Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;
"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
π€π€
Hawakufundishwa vizuriπππππ stori kidogo

Nawewe kila kitu ccmCCM na genge lake .
πππKwan uongoNawewe kila kitu ccm
Nakuitia komesga yenu Lucas Mwashambwa msikie huyuπππKwan uongo
Si ndio πππChuma haipai ππ