Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Stori kidogo
1726506197282.jpg

Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.

Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.

Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.

Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"

Profesa akajibu kwa kujiamini,

"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".

Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;

"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗
 
😀😀😀😀😀 stori kidogo
View attachment 3097745

Wanafunzi vilaza na prof anajua hilo
 
Haw

Hawakufundishwa vizuri
 
Kuna ile story ya Mizengo Pinda kuulizwa na Kikwete swali ambalo Kikwete aliulizwa na Hillary Clinton na Kikwete akajibiwa na Tundu Lissu baada ya yeye kushindwa kulijibu.. huwa naitafuta sana aisee nifurahi, ila siipati. Mwenye nayo ashee nasi
 
Back
Top Bottom