Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Wanaboa sana aiseeeeModerator
Nimechoswa na kunibadilishia vichwa vya nyuzi zangu....
What the hell......
Mnaboa!! Kwani heading ya Kwanza ya "ndoa yangu" ilikiwa na shida gani????
Kheeee mnajikuta akina nani????nyie mnabadilisha badilishatuu
Mfyuuuuu
wameajiri wahariri hawataki mchezo..Moderator
Nimechoswa na kunibadilishia vichwa vya nyuzi zangu....
What the hell......
Mnaboa!! Kwani heading ya Kwanza ya "ndoa yangu" ilikiwa na shida gani????
Kheeee mnajikuta akina nani????nyie mnabadilisha badilishatuu
Mfyuuuuu
Rara ahahahhaa unampenda sana..Hahahaha...poa poa akiniheshimu rora reree inatosha!!
Nilikupa heshima zangu zote ila sasa mwenyewe na nyuzi zakoTatizo huniheshimu kwa Sasa..
Hongera sana Nyamwi255 nasubiri kilichoendea kwa bashasha sana😊min -me ephen_ Mpaji Mungu Kalpana Labella SweetyCandy Mbaga Jr amshapopo Django doer FatherFigure Tyrion_Lannister Fake P
Itoshe kusema nimewamisi banaa wanangu sana🌺
Sijui hiyo nguvu anaipata wapi,sema hawa wanakuwa washakulana mda mrefu wamezoeanaupo honeymoon usharukia jf badala uumpe mwenzio kizazi akitusue honeymoon siku saba mama we siku mbili tu tayari upo jf!
Nachokupenda hujui kukasirika.Ila muhaya kama mzaramoHahahaha
Mapepe umeyaona wewe, mumewe kamuona ametulia ndio maana kamuweka ndanimh! utatulia kweli wewe mbona mapepe sana!..
Pole sana itakua ulisimama mda mrefu kupokea zawadi mbalimbali , pata mda wa mapumziko utakaa sawa tu😊Sawa ila mwenzio miguu inamiuma balaa
ephen una nini wewe...?Mapepe umeyaona wewe, mumewe kamuona ametulia ndio maana kamuweka ndani