Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Wanaboa sana aiseeeeModerator
Nimechoswa na kunibadilishia vichwa vya nyuzi zangu....
What the hell......
Mnaboa!! Kwani heading ya Kwanza ya "ndoa yangu" ilikiwa na shida gani????
Kheeee mnajikuta akina nani????nyie mnabadilisha badilishatuu
Mfyuuuuu
Yaani hawana utaalamu na TITLE
Hawajui TITLE ndio kila kitu katika ishu kama hizi.
Shame upon all mod (mafaza)