Hadithi ya Ndoa yangu

Hadithi ya Ndoa yangu

Moderator
Nimechoswa na kunibadilishia vichwa vya nyuzi zangu....
What the hell......
Mnaboa!! Kwani heading ya Kwanza ya "ndoa yangu" ilikiwa na shida gani????

Kheeee mnajikuta akina nani????nyie mnabadilisha badilishatuu
Mfyuuuuu
Wanaboa sana aiseeee
Yaani hawana utaalamu na TITLE
Hawajui TITLE ndio kila kitu katika ishu kama hizi.

Shame upon all mod (mafaza)
 
Hongera "mwanangu sana"
Utulie Sasa ulee na kuipalilia ndoa yenu.
 
Back
Top Bottom