Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Aiseee ila na ww una replys za kiwaki...🙃😃😃😃Mwali huyu mtata sana Ila Mimi alinifungulia uzi na kibaya zaidi ninachompendea huyu mtoto hajaniignore pamoja na kwamba Mods waliingilia kati wakamwambia muignore huyo muignore Nyamwi255 akasema hapana huyu Baba Jr wa baadae huyu siwezi kumignore kabisa full makopakopa leo kanionyesha vikumakuma ana hatari huyu mwali