Assadillah
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 122
- 205
Kwani hiyo upimaji ama uchunguzi wa maiti unachukua muda ama siku ngapi?Na kwani maiti zote ambazo huchelewa kuzikwa huwa ni kwa sababu ya kusubiri uchunguzi?kwa nini? kwa hiyo post mortem haina maana in the 21st century? profession yote ya pathology haina maana? hakuna umuhimu wa kujua chanzo cha kifo cha marahemu? vp kama kifo kimetokana na maambukizi ya virus hatari kama ebola viruses ambayo inaambukiza na inaweza kuua mji mzima? how would you know that? hao walioenda kuzika wakirudi bara na ebola kwa mfano si watasambaza dar yote na nchi nzima? sisemi kama alikuwa na ebola lkn najaribu kuelezea umuhimu wa kujua chanzo cha kifo hasa kwa walio hai, kwa karne ya leo ni muhimu sana, kwani kila kitu kipo, vipimo vipo, wataalamu wapo tena waliosomeshwa kwa gharama kubwa, why not? kwa sababu tu ya utaratibu uliotumika karne ya 7 a.d huko ambapo mazingira yalikuwa tofauti kabisa, kulikuwa hakuna regrigaration islam ilainzia arabian desert temperature inafikia mpka 50 degree celcius, ofcourse mazingitra kama hayo inaleta maana kuzika mara moja lkn siyo leo hii.
wakati wa corona tuliona mtu mmoja aliweza kuingiza coro na virusi na kuambukiza nchi nzima au umesahahu khs patient zero? au pia vp kama ni crime. labda aliwekewa sumu i.e assasinated utajuaje? na mahakamani utaenda na ushahidi gani? ...
Kwani hiyo upimaji ama uchunguzi wa maiti unachukua muda ama siku ngapi?Na kwani maiti zote ambazo huchelewa kuzikwa huwa ni kwa sababu ya kusubiri uchunguzi?
Kwa ufupi kapumzika. Huwezi kuishi na mwanamke kama samia. Kwa ufupi Hafidh alikosea kuoa.. Mume kafa mke hata machozi hayamtoki..Nahisi Mzee atakuwa amepitia mateso mengi sana kabla ya kifo chake.
NB: zingatia neno "nahisi" hapo juu ☝️
hapana, lkn nimejaribu tu kuelezea umuhimu wa kufanya uchunguzi wa mwili hasa ktk dunia ya leo ...
Kwa ufupi kapumzika. Huwezi kuishi na mwanamke kama samia. Kwa ufupi Hafidh alikosea kuoa.. Mume kafa mke hata machozi hayamtoki..
Mbona hasira na matusi makubwa hivi wakati wa maombolezo?Mtoa mada unapakatwa. Tena si mara moja moja bali kila siku.
Sasa ulidhani yule Mzee angeishi milele?
Wewe tahira shoga hutafika umri kama wa yule Mzee
Ndo mchague jibu sahihi. Sisi tunamshukuru Mungu kwa wema wake usio na mipakaMbona vyote viwili mnataka kumbebesha mtu mmoja✍️
Ndio nasikia leo.Hivi Zanzibar kuna hospital ya Mzena?
kuoa malaya ni tabu tupuNahisi Mzee atakuwa amepitia mateso mengi sana kabla ya kifo chake.
NB: zingatia neno "nahisi" hapo juu ☝️
Angalikua upande wa pili wa imani sasa hivi tungalikua tunapiga wine, michango , sare, matumbuizo nk. Ghrama bilioni 5.Lkn waislam ukifa unatakiwa uwahishwe ili wengine wakaendelee na majukumu mengine. Gharama haizidi laki 2Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.
Marehemu Mzee Hafidh amefariki dunia leo alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE:
Bado hamjasema. Na bado.. na Mtasema.
Chawa waliojua watapiga hela kutokana na msibaa huu, hakuna chawa hata mmoja alopost Graphics ya kutoa pole... Waulimwengu shujaa
View attachment 3665365View attachment 3665366View attachment 3665367View attachment 3665368