Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Samia Suluhu Hassan, Tushamfukia tayari.. Amekufa mapema

Bila ya kuwa na Samia, huyo mzee angeishi miaka zaidi ya kumi ijayo.
Samia kaipunguza hiyo miaka kumi ya uhai wa huyo mzee; au hujui?
Mwanamke akishajiingiza kwenye siasa andika maumivu, wachache sana wanaweza kubakia kama walivyo bila kubadlika.
 
Pamoja na imani ya kiislam mtu akifa anazikwa siku hiyohiyo, huyu alikuwa mtu mashuhuri kitaifa ni mume wa Rais. Itifaki ya mazishi ya kitaifa imezingatiwa? Je ni kweli kafa leo na kuzikwa leo leo au alishafariki siku kadhaa nyuma haikutangazwa mpaka maandalizi yakamilike ndio watangaze? Ni ngumu hata kwa familia za kawaida mtu afariki leo na kuzikwa leo leo, labda kama kafariki jioni au usiku basi kukipambazuka shughuli za mazishi zinaanza, vinginevyo mwili utapelekwa mochwari kusubiri taratibu za mazishi zikamilike. Huenda huyu mzee alishafariki siku kadhaa nyuma ili maandalizi yakamilike
 
Maandalizi yapi?Sanda, kuosha ,kuswaliwa na kuchimba kaburi kunahitaji maandalizi gani?
 
Ila wamezika mapema sana, kufariki asubuhi, jioni wanafukia? Mmmmh
 
Tuliza ma.pumbu hayo...

Anaongelewa mume wa Rais unaleta mambo ya lisu, wewe zinakutosha??

Inaelekea lisu anakunyima usingizi unabaki kuweweseka kila mahali humu lazima umtaje... na bado! Msonyoooo
 
Uchunguzi unamfanyia nani?

kwa maoni yangu kila kifo kinapaswa kuwa na haki ya kuchunguzwa chanzo chake kwa ajili ya waliobakia ofcourse haiwezi kumrudisha marehemu lkn inaweza pia kusaidia kuokoa vifo vingine hasa vya utata kwa mfano vifo kama J.Mhagama (rip) au hata mpishi wa E.Nchimbi ambapo iliwekwa hapa jf kwamba alifariki.

sisemi kwamba ni lazima miili yote ichunguzwe lkn uwezekano uwepo bila ya zengwe kama ndugu na jamaa wakipendelea mwili ufanyiwe uchunguzi na siyo tu serikali kupora msiba na kukimbilia kumzika mtu ...
 
... msiba huu umeendeshwa kwa taratibu za madhehebu ya marehemu, na Serikali hapa imeshiriki mazishi na wala haikuendesha mazishi!
 
umedandia hoja kwa mbele na wala hauelewi tulichokuwa tunajadili, next time jielimishe kwanza kabla ya kudandia usioyalewa ...
Acha upumbavu wako! Kama umesoma sana huo sijui u'mortician' na uanona hakuna maiti za kuchezea MORTUARY, na unaboreka, nenda ukanda wa Gaza, Palestine, kuna sample nyingi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…