Hafizi Konkoni afukuzwe na viboko 30

Naskia kaitwa kikosi Cha taifa Ghana.
Konkoni ni tapeli, anaitwa timu ya taifa kwa mipango, umri wake halisi ni miaka 39, ila passport inasoma 23, jamaa alikuwa mwalimu wa primary miaka 8 nchini Ghana sasa hadi Leo awe na miaka 23??, plus jamaa ni mganga wa kienyeji maarufu pale kumas na nikiongozi wa chama cha madalali wa kitongoji
 
Huyu haielekei kuwa mchezaji kabisa itakuwa walimuokota kijiweni wakamleta yanga.
 
Hii sagia kunguni noma.
 
Umeniwahi kuleta huu UZI.Tuwe na subra Eng ni mtu wa ball anaona uchezaji wa huyo MUHUNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…