Kila nikilitizima hili striker la boli HAFIZI Konkoni kutoka nchini Ghana linalokipiga ndani ya Yanga napata wasiwasi juu ya uwezo wake wa kutuvusha Yanga sc kutoka hapa tulipo kutupeleka hatua inayofuata.
Mimi ni muumini wa kuheshimu maamuzi ya makocha na inapofikia hatua kocha au benchi la ufundi halimuamini mchezaji kiasi cha kumpa dakika 7 za mwisho tena katika baadhi ya mechi, huku uwezo wake katika hizo dakika kiduchu anazopewa hazitendei haki jumlisha mapungufu kibao ya, kimsingi kama ball control na passing, moja kwa moja mchezaji huyo huwa ninamuona ni wa ovyo tu kama ilivyo kwa HAFIZI Konkoni
YANGA tunapaswa kuachana na tapeli hili la soka toka Ghana na ikiwezekana AFUKUZWE kambini leo hii, na achapwe VIBOKO 30, kwa udanganyifu sababu huyu si mwanasoka bali ni mcheza kamali toka Ghana.
View attachment 2848393