Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

Hongera kwako wewe usio sehemu ya huu mshangao wa kiapo tofauti. Na kwamba wewe ni sehemu ya waapaji kwa hiyo unawapa pole wasio sehemu hiyo.
Yeah, sure.

Term hii lazima mnyooke!
 
Hii nchi yetu ya ajabu sana, na wote tuliomo tunatakiwa kuwekwa makumbusho vizazi vijavyo waje kutushangaa; hawa wanafurahia ushindi feki, na wale wengine wanaogopa kudai haki zao uchaguzi urudiwe kwasababu haukuwa huru na haki.

Sijui tumelogwa?!
Viongoz wenu wamewasaliti, hawatekelezi ahad zao hata maandamano yasiyo na kikomo hatuyaoni, yaani yamekosa waasisi.
 

Ndio mkuu, mashoga naona mkashindwa kuandamana na bahati yenu nilipanga nkikuona kwenye maandamano nikusokomezee bastola ya nyuma yako
👌🏿🖕🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…