Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

Hiyo ni kuonyesha Tanzania ni nchi ya chama kimoja going forward
 
umesikiliza au unacommet bila kusikiliza au huna bando ya kufungua hiyo kiapo?

Unajua Kiswahili? Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa maana ya neno "kama"?

Sijawahi kutumia bando maisha yangu yote, nina unlimited internet ya 4G, halafu nina broadband internet yenye WiFi.

Bando haihusiki hapo.

Usinichukulie poa tu.
 
Hata MTU akipanga njama za kumuondoa sio kosa LA uhaini maana sio Rais kwa mujibu wa Katiba!
Kama hajaapa kiapo kinachotambulika kisheria, kimsingi Tanzania inakuwa haina rais.
 
Unajua Kiswahili? Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa maana ya neno "kama"?

Sijawahi kutumia bando maisha yangu yote, nina unlimited internet ya 4G, halafu nina broadband internet yenye WiFi.

Bando haihusiki hapo.

Usinichukulie poa tu.
Plus unlimited data [personal] hotspot...I’m wired everywhere I go.

Hahahaa ila mambo ya bando yanachosha!

Bando linaweza likakuishia usiku. Vibanda vya kununulia bando vimefungwa. Inabidi usubiri hadi asubuhi.

Sasa ukiwaambia baadhi ya hawa ndugu zetu hayo mambo ya unlimited data, wanaoweza kukuelewa ni wachache sana.
 
It may come across as flossing, but he asked for it.

Watu wakituona tunakutana hapa kila siku wanafikiri tunaishi maisha sawa.
 
Mkuu hv kwenye kiapo chake alitaja neno Mungu
I have better things to do with my time than watching Magufuli.

I'd rather watch chess moves in "The Queen's Gambit". At least it is highbrow and cerebral as well as entertaining. Magufuli is neither.

Neno Mungu kwenye kiapo cha a secular state ni contradiction.

I specialize in pointing out contradictions.
 
Jamani kwa uelewa wangu wa mambo kidogo tu ninaona moderator wa humu jf wengi ni wana CHADEMA yaani ukiisema vibaya chadema uzi unazimwa kiaina hautoki ANGALIA UJINGA HUU ambao mtu katoka usingizini kaandika kuna maneno yamepungua kwenye kiapo nao bila ya kusikiliza wameupitisha watu wauchangie mnajiweka kwenye kundi la wapumbavu sana jiangalieni mnapoteza hadhi yenu moderators
Weka ushahidi wako kwamba.

1. Hii hapa video Magufuli anaapa.

2. Hiki hapa kiapo cha urais kinachotambulika kisheria.

3. Magufuli ameapa kwa kutumia kiapo kinachotambulika kisheria.

Tusijibizane kuhusu facts bila evidence.
 
Angalia video kuanzia dakika ya 3
 
What do you mean by "responsible for" ?

The more traditional oath ritual involves an oath taker repeating verbatim after an oath administrator. In other words, the oath administrator dictates and the oath taker takes the oath, without omitting or adding anything.

Now, whether the oath specification is proper or not, complete or not, isn’t a matter for the oath taker to determine!
 
But that still does not make an invalid oath valid.

Someone who is an incumbent president - or anybody in natiinal politics for that matter- ought to know the oath.

Ignorance is not a defence.

Plus, how do we kniw if there is a deliberate conspiracy to not take the oath as originally designed?

Moreover, the governmental machinery, for example the Attorney General and his team, government lawyers, ought to advise accordingly to rectify this deficit, if at all it us factual.

Failure to do so would signify that we do nit resoect the rule of law, we are merely going with the motions.
 
Kwa mara ya kwanza Rais ameapa kwa maneno tofauti na kuacha maneno muhimu kabisa ambayo ni
"Naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri na nitailinda, kuhifadhi Katiba ya JMT.

Lakini maneno hayo yameondolewa.

Nini tafsiri yake?

Kuna mabadiliko ya Katiba?

Wajuzi tupeni ufafanuzi.
View attachment 1620491
Maneno yaliyopo

"Mimi John Pombe Joseph Magufuli, naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Nitaitumikia kwa moyo wangu wote,
ya kwamba nitahifadhi, nitailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa sheria iliyowekwa. Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie"

Maneno gani yameondolewa hapo. Au bando yako inakatakata hiyo clip usiweze kusikia yote
 
But that still does not make an invalid oath valid.

Someone who is an incumbent president - or anybody in natiinal politics for that matter- ought to know the oath.

Ignorance is not a defence.

Plus, how do we kniw if there is a deliberate conspiracy to not take the oath as originally designed?

Moreover, the governmental machinery, for example the Attorney General and his team, government lawyers, ought to advise accordingly to rectify this deficit, if at all it us factual.

Failure to do so would signify that we do nit resoect the rule of law, we are merely going with the motions.

The oath specification may be flawed, but pointing an accusing finger at the oath taker is unwarranted, because the oath taker doesn’t get to negotiate it (or participate in preparing it). The accusation is a political convenience!
 
Acha Kutupotezea muda tafadhali Siasa zimeshamalizika na Uchaguzi Mkuu nao umeisha huku Rais akiwa ni 'usiyempenda' Mwamba JPM wa CCM.
 
Nimeomba ushahidi wa kuorodhesha vitu vitatu.

Hujaweka hata kimoja.

Wewe ni mjinga hujaelewa nilichoandika?

Au umeelewa una dharau tu?
Nani atahangaika na wewe wewe ukijiangalia unastahili kupewa hayo majibu kweli?
 
Nani atahangaika na wewe wewe ukijiangalia unastahili kupewa hayo majibu kweli??
Ni wazi kwamba wewe unahangaika na mimi kiasi cha kunijibu hapa JF.

That is a fact.

Ni wazi kwamba nilichouliza ni zaidi ya habari zangu tu, ni kutaka kupata ushahidi wa maana kuangalia ukweli.

That is a fact.

Ni wazi kwamba huna uwezo wa kutofautisha uchambuzi wa facts na mipasho ya kutukanana.

That is a fact.
 
Back
Top Bottom