johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Weka ushahidi kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini?Wekeni audio tusikie ndiyo tuseme? Nanusa Lifetime!!!!!
Hapana. Ni uelewa wangu. Narudia nanusa "Lifetime". Ukisoma katiba vizuri kuna kipengele kitakusaidia kuelewa ni kwa nini nimeandika hivyo. Ngoja tuone.Nini?
Life time ban?
Kasema hatazidisha hata siku mmoja mitano ikiisha ndiyo maana nimeshangaa wazo lako.Hapana. Ni uelewa wangu. Narudia nanusa "Lifetime". Ukisoma katiba vizuri kuna kipengele kitakusaidia kuelewa ni kwa nini nimeandika hivyo. Ngoja tuone.
Mimi sijawaza huko. Nimesema tu "Lifetime". Finally, I will never trust the tongue of any politician in the World.Kasema hatazidisha hata siku mmoja mitano ikiisha ndiyo maana nimeshangaa wazo lako.
Haha shida n kuwa lissu hajawa rais subili tu hata 2070 anaweza kuwa rais ,nafasi bado anayo ,,jitahidi kumuombeaSichukii kuzaliwa Tanzania ila ninachukia kuwa sehemu ya huu ujinga.
Ujinga zaidi ni kujua upo katika ujinga halafu unabaki nao.Sichukii kuzaliwa Tanzania ila ninachukia kuwa sehemu ya huu ujinga.
Aliyemuapisha ni Mwanasheria na Jaji Mkuu, sasa kama hakipo kisheria watatuambia.Kama hajatumia kiapo cha Rais kinachotambulika kisheria, huyo si Rais.
Suala si aliyemuapisha, suala ni kiapo chenyewe.Aliyemuapisha ni Mwanasheria na Jaji Mkuu, sasa kama hakipo kisheria watatuambia.
Aisee...
Hakiamungu siondoki bongo.
Yajayo yanafurahisha!
Tuombe sana Mungu atuepushie kikombe hiki.
Nakumbuka Obama ilimbidi aape mara mbili sababu kuna namna alivyoapa mara ya kwanza maneno yake hayakuwa sawasawa na kiapo cha kisheria!Kama hajatumia kiapo cha Rais kinachotambulika kisheria, huyo si Rais.
Kauli yake ni trickyKasema hatazidisha hata siku mmoja mitano ikiisha ndiyo maana nimeshangaa wazo lako.
Nakumbuka Barrack Obama alipoapishwa kwa awamu yake ya pili ya Urais kiapo chako kilikosewa wakati akiapa. Hivyo ilimbidi akirudie tena alipokuwa White House. Sasa kama hiki alichokiapa hakijakidhi itabidi kirudiwe tena.Kama hajatumia kiapo cha Rais kinachotambulika kisheria, huyo si Rais.