Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Tafadhali elewa nilichokiandika hapo kabla.

Nilisema hivi;

Ukauliza, kwa sababu gani Mbappe?

Nikakuambia kwa sababu ya individual performance.

Isivyo bahati, mimi si muhusika.

So, it's obviously known that individual performance isn't the only criteria.
Nlikuelewa binafsi nilikuwa najazia nyama tu.

Acha tuone nani ataibuka kidedea.
 
Naona hizi tuzo zimekuwa ngumu sana mwaka huu.

Pia kingine kukosekana extraordinary players like Messi na Ronaldo ambao ungeweza kuwapa bila kusita na watu wasikupigie kelele kunazidi kuifanya hii tuzo iwe ngumu sana kwa wanaume.

Ukiangalia uwezo na uchezaji wa wachezaji wengi unarandana hawapishani mbali sana.

Pia hata hiko kigezo cha makombe bado kunazidi kufanya mambo yawe magumu.

Mfano Kane hana world cup lakini ka win local trophies plus good performance.

Yamal kawin local Trophies na world cup lakini individually hayuko stable kama Kane yeye graph inapanda na kushuka.

Mbappe yeye hana local trophies lakini indivually kafanya vizuri zaidi.

Mfungaji bora UEFA,mfungaji bora La Liga na mfungaji bora World Cup.

Ukiangalia hapo mambo yanakuwa magumu sana kwenye kuamua.
Mkuu unaweza kuwa mfungaji bora lakini goal nyingi zimepatikana kwa vibonde afu mechi zinazoamua umepotea.

So kama ni stats zenye impact kane yuko juu ya mbappe.

Hapa ni kane vs yamal na anaestahili zaidi hii tuzo ni kane ukicombine individual performances na contribution kwenye team.
 
Dembele kaingia mzigoni


PSG VS LYON bado nyau nyau huko
 
Vozinha naye kaingia


 
Rodri kama jana hakijatokea kitu vile.

Hii ndio sura ya mwanaume kwenye nyakati ngumu anahakikisha hakuachii ishara ya kujua mambo anayopitia
 
Back
Top Bottom