Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Kocha bora wa UEFA, Rafael Benitez


 
Nomineee kwenye kipengele cha kocha bora wa mwaka
 
Best coach of the year ni Luis Delafuente ambaye ni kocha wa Spain
 
Peter Smeicher ndio atayekabidhi tuzo ya kipa bora
 
1793046293251.jpg
 
Magolikipa wanaowania tuzo ya golikipa bora ya mwaka


Kwa wanawake mshindi ni huyu



Kwa wanaume mshindi ni Unai Simon


 
Burna Boy anamkabidhi mshindi wa tuzo ya Socrate


Bukayo Saka ndio mshindi wa tuzo hiyo

 
Hawa wezi Kipa Bora unai Simon kwa match 8 za world cup??
Raya ana deserve hii tuzo zaidi ya unai Simon . Matapeli hawa
Hii hata mimi nimeona imekaa kitapeli.

Sio tu kwasababu ya mechi 8, bali alifanya saves gani kuifanya timu yake iweze kwenda mechi 8 unbeaten?

Kwasababu hili lipo wazi, Spain walikuwa na defence line nzuri ambayo ilikuwa inawapa ugumu washambuliaji wa timu pinzani kupenya.

Mfano mechi ya fainali dakika 90 Argentina hawakuwa na shot on target hata moja, walipata off target moja tu.

Sasa hapo ubora wa kipa uko wapi?

Tuzo zimekaa ki CCM sana hizi sometimes. Vozinha alifanya kazi kubwa kuliko huyu Unai Simon ila ndio hivyo mambo ya connection bila kadi ya chama haupenyi.
 
Lamine Yamal anastahili hii tuzo ya Ballon d'or.
Wameamua kumnyima kwa kumpa hiko kituzo kidogo,
Mxxiiiiew zao hao.
 
Back
Top Bottom