Anastahili kwasababu gani?Yepiii? Yamal anastahili D,or leo hii, sema ndio hivyo mchongo, basi.
Update Mkuu nini kinaendelea huko?Anastahili kwasababu gani?
Au kwasababu ni king of Instagram?
Ni mwanasiasa kabisa, sio mwanamichezo.Kwani huyu demu anaongea nini muda wote
Thubutuuu,Yamal kiboko anabeba tuzo zote
Wewe ni team GOAT?Acheni maswali ya kiwaki kmke zenu kuna watu hatujalala kwa ajili ya hii ishu halafu mnatuletea uwaki wa kutaka kumrudisha Yamal kwa mlango wa nyuma
View attachment 3699351
😀😀 Tulia tulia Mkuu.Acheni maswali ya kiwaki kmke zenu kuna watu hatujalala kwa ajili ya hii ishu halafu mnatuletea uwaki wa kutaka kumrudisha Yamal kwa mlango wa nyuma
😂😂😂Wewe ni team GOAT?
Let's waitAcheni maswali ya kiwaki kmke zenu kuna watu hatujalala kwa ajili ya hii ishu halafu mnatuletea uwaki wa kutaka kumrudisha Yamal kwa mlango wa nyuma
View attachment 3699351