He deserve itHongera sana Kane
Atapewa kane.Yamal hii ni halali yake kabisa, akikosa ni kanyimwa tu.
Na kapewa Kweli Kane.Atapewa kane.
Bado ana nafasi piaMbappe ni fungu la kukosa na hana bahati, bora Yamal muda anao wa kutosha, na anaweza huko mbele kuchukua back to back.
Mcheza kwao mkuu.Na kapewa Kweli Kane.
Hongera mkuu
Yamal akafanya kipi Cha maana mpaka apewe tuzoYamal hii ni halali yake kabisa, akikosa ni kanyimwa tu.
Uyo dogo ubinafsi sana, ameshindwa hata kupiga makofi, kana roho mbaya sana leo nimekashuhudia, mbona wenzie wako flesh tuMbappe ni fungu la kukosa na hana bahati, bora Yamal muda anao wa kutosha, na anaweza huko mbele kuchukua back to back.
Aaah wapiii? Huyu labda wampe tu kwa kumuonea huruma, couz alipostahili walimdhurumu, iwe km wanalipa fadhira kwake, ila kihalali hapana,Bado ana nafasi pia
Hatarii sana.Mcheza kwao mkuu.
Ki stats mbappe ana stahili sana tu mzee.Uyo dogo ubinafsi sana, ameshindwa hata kupiga makofi, kana roho mbaya sana leo nimekashuhudia, mbona wenzie wako flesh tu
Muache anastahili kuumia, najaribu kumuelewa.Uyo dogo ubinafsi sana, ameshindwa hata kupiga makofi, kana roho mbaya sana leo nimekashuhudia, mbona wenzie wako flesh tu