Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Hafla ya Tuzo za Ballon d'Or Oktoba 26, 2026; Harry Kane ashinda tuzo ya Ballon d'Or

Mbappe ni bahati tu hana muda mwingine .
Mbappe hii balloon dor anastahili sana tu, sema ndo hivyo bahati kama hana vile.

Kane pia ni kupewa ni sawa ila mbappe ana deserve zaidi.

Bundesliga huko mpaka kina Sancho walikua wanaongoza magoli hamna mpira kule😀
 
Nakubali Mbappe bahati hana kabisa, ila wafanye wampe, ni haki yake walimdhurumu 2018.
 
mimi sina team napenda vitu vizuri, sasa ni vigezo vipi wametumia kumpa Harry Kane Ballon D'or ambavyo Yamal hana?

bila kuwa biased hii tuzo alistahili kupewa Fabian Ruiz. full Stop.!! ni kama tu mwaka juzi walivomnyima Lautaro Martinez. *** off
 
Wanafunzi 10 wa chuo kikuu wapo kwenye kinyang'anyiro cha tuzo ya mwanafunzi bora kwenye mtihani wao wa mwisho waliofanya.

Katika hao 10, mmoja anapewa tuzo ya kujua kusoma na kuandika. Na wale 8 wameondolewa na huyu mwingine anafanikiwa kuchukua tuzo hiyo.

Huyo mmoja aliyetwa tuzo ya kujua kusoma na kuandika ndio Yamal sasa.

Yani ni sawa na kwenda kupata mafunzo makali ya ukomandoo Urusi halafu unakuja kutunukiwa cheti cha SUMA JKT
 
Mbappe Alistahili 2018, huyu kijana sijui ana mkosi au gundu gani, kila jambo zuri linapita kushoto kwake.

Katoka PSG, ndiko kumewaka na kuchukua UCL back to back, kukamfanya Dembele achukue Ballon d'or.

Hana bahati kabisa, ni fungu la kukosa, na ashukuru alichukua WC 2018.
Ukitaka kujuwa maana ya gundu muulize Doumbia atakueleza.

Huitaji tuzo kupata heshima kama mchezaji bora, football ni mchezo wa hadharani.

Mbape ni mchezaji bora kwa wanaojuwa mpira wala haitaji tuzo kuthibitisha hilo.
 
Kane kasaidia Bayern kubeba ubingwa wa Bundesliga, German cup and Super cup ila Mbappe hajaisaidia Real Madrid kubeba kombe lolote lile, hata World cup 2026, Kane alisaidia Engaland magoli yake kwenda 3rd place, ila Mbappe walitolewa mapema sana.
 
mimi sina team napenda vitu vizuri, sasa ni vigezo vipi wametumia kumpa Harry Kane Ballon D'or ambavyo Yamal hana?

bila kuwa biased hii tuzo alistahili kupewa Fabian Ruiz. full Stop.!!
Kwanza kabla ya kusema kipi alichonacho Kane ambacho Yamal hana, unatakiwa ujue Yamal yeye anacho kitu gani haswa

Yamal ana assist nyingi za Copper Derey, huku hazina makali yeyote yani ni sawa na mwanafunzi aliyepata A kwenye masomo ya dini.

Hizo A zake ni useless.
 
mimi sijibu hoja za kishabiki. swali ni je kwann hajapewa Fabian Ruiz alochukua makombe yote badala yake anapewa Kane alochukua Ligi tu? kama ni magoli mbona Mbappe kamzidi mbali?
 
Na kakosa huyo Mbappe sasa, Duuuh.
Yamal alistahili leo hii, ila kanyimwa tu.
Sasa si bora aliyekosa kuliko aliyepewa ambacho hakipo kwenye hadhi ya target ambazo alikuwa anafukuzia.

Yani ni sawa na mwindaji aliyechukua SMG kwenda kutafuta kitoweo cha kulisha familia ya watu 20, halafu kwenye mpambano yake yote anarudi na njiwa mmoja.
 
mimi sijibu hoja za kishabiki. swali ni je kwann hajapewa Fabian Ruiz alochukua makombe yote badala yake anapewa Kane alochukua Ligi tu? kama ni magoli mbona Mbappe kamzidi mbali?
Hilo sio swali la kishabiki ni swali muhimu ambalo linaelezea kwanini dogo kapata tuzo ndogo na sio Ballon d'Or.

Wengi mnaenda kimazoea kwasababu tu wiki mbili hizi Fabrizio alikuwa bize sana kumpigia kampeni dogo wenu mkahisi ile trend ingeweza kufanya chochote kwenye ballot.
 
sawa mwanetu
 
mimi sijibu hoja za kishabiki. swali ni je kwann hajapewa Fabian Ruiz alochukua makombe yote badala yake anapewa Kane alochukua Ligi tu? kama ni magoli mbona Mbappe kamzidi mbali?
Lamine Yamal ana makombe matatu.

Kwenye hayo makombe mchango wake ni upi?

Hili ndio swali muhimu.

Kombe la dunia ana goli 1, Laliga huku ndio at least alijitupa tupa alikuwa na magoli 16 na assist 11 which is fair enough.

UEFA alikuwa na goli 6 pamoja na assist 4

Kombe la dunia goli 1 assist 3

Michuano mikubwa na yenye ushindani katika hiyo ni Laliga na World Cup.

Sasa kigezo cha domestic League hapa kinakosa nguvu kwasababu kinaweza kuruhusu washindani wengine wapate nafasi.

Ndio hapo tunaangalia Kimataifa kuanzia Club competition na National Team ili uwe kwenye mzani sawa na wenzako ambao nao wamekuwa na ushiriki wa hiyo michuano.

Ndio hapo tunaona dogo ana pwaya kwasababu namba zake binafsi hazimbebi licha ya timu yake kujumla kuwa na takwimu nzuri.
 
Mbappe ni bahati tu hana muda mwingine .
Mbappe hii balloon dor anastahili sana tu, sema ndo hivyo bahati kama hana vile.

Kane pia ni kupewa ni sawa ila mbappe ana deserve zaidi.

Bundesliga huko mpaka kina Sancho walikua wanaongoza magoli hamna mpira kule😀
Mmeanza sasa.
 
Back
Top Bottom