Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Lamine Yamal anastahili tuzo gani tofauti na aliyepewa?Lamine Yamal anastahili hii tuzo ya Ballon d'or.
Wameamua kumnyima kwa kumpa hiko kituzo kidogo,
Mxxiiiiew zao hao.
Lamine Yamal anastahili tuzo gani tofauti na aliyepewa?Lamine Yamal anastahili hii tuzo ya Ballon d'or.
Wameamua kumnyima kwa kumpa hiko kituzo kidogo,
Mxxiiiiew zao hao.
Wamemkatia keki yake, huu ugali uliobaki ni kwa ajili ya wakubwa wazee wa kazi nzitoGolden boy ukipewa hiyo sahau d'or ..Huwezi chukua dor ndogo na kubwa hizo zitakuwa dharau.
Hadi hapa imeangukia Wingereza.
Hii imeisha.... Mbappe anaelewa hii trick 2018.Wamemkatia keki yake, huu ugali uliobaki ni kwa ajili ya wakubwa wazee wa kazi nzito
BALLON d'or YenyeweLamine Yamal anastahili tuzo gani tofauti na aliyepewa?
Ok
Kwa kipi haswa?BALLON d'or Yenyewe
Hawezi pewa Ballon D'orTuzo hazijaisha, zinaendelea, usishangae akashinda
Ndio maana nikasema kapewa hako kadogo, ili asipewe hiyo kubwa anayostahili.Bado tuzo kuu yenyewe haijatolewa, hiyo ni tuzo ya watoto
Kadogo ndio anakostahiliNdio maana nikasema kapewa hako kadogo, ili asipewe hiyo kubwa anayostahili.
Kwanini Mbappe wamemtafutia vijisababu hadi apewe Tuzo kuu yenyewe? Hii ndio ilitakiwa apewe Mbappe,Striker of the Year
Kwa wanaume ni Harry Kane
Kwa wanawake ni Charlyn Corral
View attachment 3699340
Yepiii? Yamal anastahili D,or leo hii, sema ndio hivyo mchongo, basi.Kadogo ndio anakostahili
Ukifanya machache huwezi kuishi kama Mengi