Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Lionel messi ndo mchezaji pekee aliye graduate kwenye soccer. Messi ni pinacle ya mpira wa miguu duniani. Ni bahati sana Kwa tuliobahatika kumuona anaanza shule(mpira) mpaka ana gradute na pengine hatokuja kutokea mchezaji kama yeye.

“Lionel Messi has conquered his final peak. Lionel Messi has shaken hands with paradise” (Drury)
 
Back
Top Bottom