Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 858
- 2,497
Individual performance inatokana na ubora wa timu na wachezaji unaocheza nao, Ronaldo alienda man U kwa mara ya pili akiwa bora sana lakini aliangushwa na akina magwaya
Acha kumsingizia magwaya bana maana mmeshamfanya maguire scapegoat kila lawama anapewa yeye[emoji23].
Ronaldo alikuwa bora sana alikuwa na goli ngap msimu huo? 2018 alichukua modric ronaldo still akiwa ni real madrid player vipi na hapo?
Hata messi kina higuain washamuangusha sana saivi angekuwa na world cup ya pili na hawa kina lautaro wanakosa magoli waziwazi kabisa .