Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

IMG_8600.jpeg
 
Moja ya makosa makubwa aliyafanya Ronaldo ni kuondoka Madrid 2019, muda huu angelingana ballon d'or na messi

Ronaldo amepata ballon d’or kabla hata ya madrid , hawagawi tu kisa mchezaji fulani yupo team fulani .
Ballon d or ni individual performance , acha visingizio mkuu kuna muda lazima ukubaliane na uhalisia tu.
 
2021: When Lewandowski was nominated for the Ballon d'Or alongside Messi, a new award was created, the Gerd Müller Award for the greatest goalscorers.

2022: When Benzema was a strong candidate for the Ballon d'Or and Messi was not nominated, the Gerd Müller Top Scorer Award was non existent.

2023: Haaland and Messi are nominated for the Ballon d'Or. France Football announces once again the return of the Gerd Muller Award for the best scorers.

Why do you think?

2021 Gerd Muller award: Lewandowski
2022 Gerd Muller award: Lewandowski
2023 Gerd Muller award: Halaand

Fuatilia mpira vizuri acha visingizio na makasiriko mkuu.
 
Ronaldo amepata ballon d’or kabla hata ya madrid , hawagawi tu kisa mchezaji fulani yupo team fulani .
Ballon d or ni individual performance , acha visingizio mkuu kuna muda lazima ukubaliane na uhalisia tu.
Individual performance inatokana na ubora wa timu na wachezaji unaocheza nao, Ronaldo alienda man U kwa mara ya pili akiwa bora sana lakini aliangushwa na akina magwaya
 
Mimi nimekupa facts.
Mwaka 2010 Messi alipewa tuzo lakini hakustahili mbele ya Iniesta.
Mwaja huu 2023 Messi anastahili haijarishi atapewa ama hatapewa.

Mpira ulikua unaangalia ukiwa umegeuka nyuma ama?
2010 hio ulitaka apewe iniesta kisa tu kafunga goli la ushindi world cup ?. Sasa si tutawapa mpaka kina gotze ballon d or kama ndo ivyo.

2010 ni world cup year huyu iniesta kwenye hivi vipengele vyote hakuwepo then unataka kusema alidhulumiwa

1: Golden ball ( Diego forlan , Wesley sneijdner,David Villa) . Kwenye golden ball ambayo ndio award anayopewa best player of world cup tournament huyo iniesta hakuwepo hata 3 bora .

2: Golden boot ( thomas muller, David villa, wesley sneijdner ) . Hio ni top scorer wa world cup 2010

3: Most assist 2010 world cup( Kaka , thomas muller, Mesut ozil)

Nembu tuonyeshe kipi hasa alifanya iniesta 2010 mpaka useme alistahili kupewa tuzo mwaka huo zaidi ya winning goal.

2010 mchezaji ambaye alikuwa na msimu bora zaidi ya wachezaji wengine alikua ni wesley sneijdner .
Unaweza ukawa una msimu bora as individual lakini msimu wako bora usiwe sawa na msimu wa kawaida wa messi .

Kwa mbali sana labda useme ni sneijdner tunaweza kukufikiria na si kutuambia iniesta acha kuhadithiwa mpira.
 
Back
Top Bottom