Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........