Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
watu hawajafikiri vizuri kujua ni kwanini TAL alipona kwenye marisasi yote Yale.!!!
Mungu ana makusudi makubwa sana na maisha ya Lisu. Huoni anaitwa Simba na watawala?
si mnazijua tabia za mnyama Simba?
Mungu ana makusudi makubwa sana na maisha ya Lisu. Huoni anaitwa Simba na watawala?
si mnazijua tabia za mnyama Simba?