Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
TAL hanaga michezo hiyo Mkuu. Hana siri ya kuficha katika kupokea hongo.Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
Kwahiyo ninjozi tu....!!!Amka.
Kwa nia njemaTAL hanaga michezo hiyo Mkuu. Hana siri ya kuficha katika kupokea hongo.
Funguka mkuuWatu aina ya Lisu nafikiri hujawajua bado Mkuu
Funguka mkuu
Kwani ukiamua kufanya ama kula deal kwa nia nzuri kunashidaTatizo la Lisu sio Mnafiki. Hicho ndicho kinamponza.u
Na watu wasiowanafiki yaani wakweli huonekana waropokaji.
Mtu mwenye akili hawezi kufanya deal chafu na Lisu
Mida huo raia mnawafanya matakatala yenu. Imani yao ikifa na nyie mtakiua chama chenuPicha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
Usahihi wako ni 0%....Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
1. Lissu hajawahi kuwa na tamaa na pesa ya AIBUPicha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
Sawa, ila punguza jazbaUsahihi wako ni 0%....
Rudi na fanya vyema zaidi hii homework yako...
Hayo ni maangano ya Freeman Mbowe na kundi lake. Ndio maana ni wakali kama pilipili lakini vichwani mwao hawana hoja zozote za kushawishi watu kwanini waendelee kuwa viongozi kwa muda zaidi....
Na nimegundua, kumbe huu usemi ni wa kweli kabisa kuwa;
"....yamtokayo mtu ktk kinywa chake, ni yale yaliyoujaza moyo/mtima wake...."
Kwa hiyo wewe ni mpenda rushwa na kipato cha udhalimu maana ndiyo mawazo yaliyo ktk moyo wako na unafikiri na wengine wako kama wewe.....!
Tundu Lissu hawezi kuingia kwenye maagano ya hovyo na ya kishetani kama hiki kilicho ktk mawazo na kichwa chako....
Angekuwa mpenda pesa, Abdul alimpekea nyumbani kwake mwenyewe tena akiwa na "blank cheque" ambayo Tundu Lissu kama angetaka angejaza figure yoyote anayoitaka....!
Hii roho "ya kupenda fedha" ni mchezo wa Freeman Mbowe na timu yake. Mwelekezee yeye mawazo haya, mtapatana sana....
Na uchafu huu (wa kupenda fedha chafu, za hongo na rushwa na ufisadi zinazonuka damu za watu) ndio unaomchafua na kumwondolea heshima yake yote kabisa ndugu Freeman Mbowe kiasi cha ku - struggle kwa nguvu sana kulinda heshima yake sasa....
Chunga sana brother....
Fedha ni hatari.....
Inaweza kusababisha ukamkana Mungu muumba wako....
Kama huamini, nenda kuzimu kamuulize Yuda Iskariote na Lucifer mwenyewe....
CDM ni taasisi imara period mkuuMida huo raia mnawafanya matakatala yenu. Imani yao ikifa na nyie mtakiua chama chenu
Hakuna jazba hapo...Sawa, ila punguza jazba
✌️Hakuna jazba hapo...
Uwe na amani tu kama umenielewa...