Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Kuwa mpole utaelewaKwani wewe unajua Abdul alienda na kiasi gani chenye harufu ya rushwa.....Siyo Lissu wakuhusishwa na huo mchezo mchafu.
Tuone demokrasia sasaCDM ni taasisi imara period mkuu
Lakini kwenye Ulimwengu wa kiroho ukipokea haramu inatumika haramu hiyonninkanuni ya kirohoPicha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
Shaka na mashaka yasiwepoTuone demokrasia sasa
Sawa chawaNyumbu bwana, ccm imejaa mamia ya watu wajanja mara 1000 yenu. Wawe na jambo lao mlielewe nyie nyumbu?!!! Hebu kachochee maharage uani huko.
Ngoja tuoneHiv unahis utakula pesa ya watu halafu uwachezee, kisha wao wakuache loose tu wasilipe?
Kama kuna ukweli hapo.Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule.
Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk za mwisho na kuwaunganisha upya Wana m4C.
Matokeo tutakuwa wamoja na nguvu zaidi kwa Mh. TAL kukabidhiwa CDM, na Mh FAM atajijengea respect kwa peoples power.
Hongereni kama nipo sahihi hahahahah....... Hahahahaha.........
Jamaa huwa hana kifuaTAL hanaga michezo hiyo Mkuu. Hana siri ya kuficha katika kupokea hongo.
OkayShaka na mashaka yasiwepo
Poa kunguniSawa chawa