October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Maandamano yasiyo na kikomo ,leo ndiyo imeanza wakikaza ,basi tunapanga kufanya kesho yake yaani kuwaweka busy na pia wazuie watu wasitoke tuone nani atashinda...Mwatuona wajinga. Siye wajinga wenyu. Mmetupanda kichwani. Hehehe! Yalaa. Na bado. Tutaelewana walahi. Leo mwalala na Viatu. Biye biye biye. Hamjui hata nini kinakuja. Mayii. Kazi inafanyika. Mwaicheza baikoko. Hehee. Nye Nye. Wanaume leo tupo road. Twaenda hivi mpaka D13. Msiwape nafasi. Na bado
Watabana mpk wataachia. Kila siku lockdown mpk muuaji atoe ushungi kichwaniMaandamano yasiyo na kikomo ,leo ndiyo imeanza wakikaza ,basi tunapanga kufanya kesho yake yaani kuwaweka busy na pia wazuie watu wasitoke tuone nani atashinda...
Twaenda nao kiulalo ulalo hawa mpaka wataelewa. Ngazi ya pili mamayeMaandamano yasiyo na kikomo ,leo ndiyo imeanza wakikaza ,basi tunapanga kufanya kesho yake yaani kuwaweka busy na pia wazuie watu wasitoke tuone nani atashinda...
Ngoma Bampa to Bamba ,kama leo ikiwa hivi basi maandamano kesho yaendelee mpaka wateme Bungo.
Kesho watu tunaenda makazini kama kawaida!
Na badoWakitustopisha Leo tuaangalia uwezekano kesho.
Public holiday!Nini chawazuia leo
Mwandko na shombo km wanawake wa pwani
Public holiday!
Hakuna watakapoachia nyumbu we, unafurahia kwasababu unakula na kulala bure kwa shemeji yako subiri unga uishe ndani shemeji yako akufukuze ukajitafutie maisha alafu uone kama utapata huo muda wa kufanya ujinga nyumbu weWatabana mpk wataachia. Kila siku lockdown mpk muuaji atoe ushungi kichwani
Ndiyo itakuwa siku nzuri ya kuandamana tenaKesho watu tunaenda makazini kama kawaida!
Hakuna watakapoachia nyumbu we, unafurahia kwasababu unakula na kulala bure kwa shemeji yako subiri unga uishe ndani shemeji yako akufukuze ukajitafutie maisha alafu uone kama utapata huo muda wa kufanya ujinga nyumbu we
HeheheNdiyo itakuwa siku nzuri ya kuandamana
Hakuna watakapoachia nyumbu we, unafurahia kwasababu unakula na kulala bure kwa shemeji yako subiri unga uishe ndani shemeji yako akufukuze ukajitafutie maisha alafu uone kama utapata huo muda wa kufanya ujinga nyumbu we