Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Sijui kuhusu Kariakoo, mimi binafsi leo sijaingia kazini kwasababu ni public holiday. Kesho ninaingia kazini kama kawaida.Waonekana waja Leo mjini. Public holiday kariakoo IPO zii hehee
Sijui kuhusu Kariakoo, mimi binafsi leo sijaingia kazini kwasababu ni public holiday. Kesho ninaingia kazini kama kawaida.Waonekana waja Leo mjini. Public holiday kariakoo IPO zii hehee
Utakua umesadia kuandamanaKesho watu tunaenda makazini kama kawaida!
Wanazuia watu kutoka majumbani, hii sio Tanzania ninayoijua mimi
Njoo nikufire, sharti unyoe hizo nywele za kunduni.Hakuna watakapoachia nyumbu we, unafurahia kwasababu unakula na kulala bure kwa shemeji yako subiri unga uishe ndani shemeji yako akufukuze ukajitafutie maisha alafu uone kama utapata huo muda wa kufanya ujinga nyumbu we
Mtandao umeanza kuzingua
Nani kazuiwa?Wanazuia watu kutoka majumbani, hii sio Tanzania ninayoijua mimi
Leo sio siku nzuri!?Ndiyo itakuwa siku nzuri ya kuandamana
Hehehe na badoNani kazuiwa?
Sawa!Utakua umesadia kuandamana
Na mwendokasi ?Kesho watu tunaenda makazini kama kawaida!
Na bado mpaka kieleweke
Mvae bullet proof. Maana tutakuwepo barabarani kwa mwanya huo.Kesho watu tunaenda makazini kama kawaida!
Leo mmeghairisha!?Mvae bullet proof. Maana tutakuwepo barabarani kwa mwanya huo.
Tumeahirisha na bunduki zimejaa barabarani?Leo mmeghairisha!?
😂😂😂