Hahaha! Kesho tena twendege hivihivi twataka hadi D13

Mwatuona wajinga. Siye wajinga wenyu. Mmetupanda kichwani. Hehehe! Yalaa. Na bado. Tutaelewana walahi. Leo mwalala na Viatu. Biye biye biye. Hamjui hata nini kinakuja. Mayii. Kazi inafanyika. Mwaicheza baikoko. Hehee. Nye Nye. Wanaume leo tupo road. Twaenda hivi mpaka D13. Msiwape nafasi. Na bado
Leo tuwaache wapigwe na jua kwanza ,KESHO watatuka road mapema
 
Twaenda nao kiulalo ulalo hawa mpaka wataelewa. Ngazi ya pili mamaye
Yes yakipangwa tena kesho na kesho yakifeli yanapangwa kesho kutwa yaani ni hivyo hivyo mpera mpera yaani ni kuwaweka busy daily na curfew iwe inaendelea hivyo hivyo ,shughuli za uchumi hazifanyiki mpaka watatema BUNGO tu.

Bila kutatua kiini cha nini wananchi wanataka sirikali itapata TABU sana! Zuia Utekaji ,Wala rushwa na mafisadi mali zao zitaifishwe ,kukumbatia cartel kama kina kizigha na wahuni wengine ndiyo wanahondomola nchi na kufaidi keki peke yao huku wananchi % kubwa wakiachwa hawana kitu.
 
Wakitustopisha Leo tuaangalia uwezekano kesho.
Mkuu hao WAHUNI wachache hawawezi kuwazima waTZ wote ,ngoma leo ikiwa ngumu ,maandamano yanaendelea kesho na kama wao wanaona Curfew ndiyo solution basi tutashinda ndani wote na wao nje wakiwa busy ,shughuli za uchumi haziendi ,nchi inakosa pesa tuone watawalipa nini hao WAHUNI na wananchi wakikaa ndani sana watatoka kilazima lilwalo na liwe na ndiyo hapo SAMUYA anaenda KUPAKWA WESE.

Cha msingi ni Kukaza tu kwamba kesho maandamano ,na kesho kutwa maandamano mpaka WATEME BUNGO.
 
heshima imeonekana kwa kiwango kikubwa leo utepe umekatwa rasmi maandamano bila ukomo
 
Mkuu hao WAHUNI wachache hawawezi kuwazima waTZ wote ,ngoma leo ikiwa ngumu ,maandamano yanaendelea kesho na kama wao wanaona Curfew ndiyo solution basi tutashinda ndani wote na wao nje wakiwa busy ,shughuli za uchumi haziendi ,nchi inakosa pesa tuone watawalipa nini hao WAHUNI na wananchi wakikaa ndani sana watatoka kilazima lilwalo na liwe na ndiyo hapo SAMUYA anaenda KUPAKWA WESE.

Cha msingi ni Kukaza tu kwamba kesho maandamano ,na kesho kutwa maandamano mpaka WATEME BUNGO.
Hii ndiyo point ambayo watanzania wanatakiwa kuipambania
 
Sisi kama washauri wa Gen Z ,tulishauri D9 kama hauna zana usitoke kabisa maana utaenda kufumiliwa ubongo ,kama wameweka curfew basi Gen Z wameshinda wanachotakiwa kufanya ni kila siku iwe siku ya maandamano yaani kesho tena ,kesho kutwa tena ,mtondo tena ,mtondogoo tena yaani ni daily sasa je wataendeleza Curfew?
 
Wakituchia mwanya tu tuko road
 
Hakuna watakapoachia nyumbu we, unafurahia kwasababu unakula na kulala bure kwa shemeji yako subiri unga uishe ndani shemeji yako akufukuze ukajitafutie maisha alafu uone kama utapata huo muda wa kufanya ujinga nyumbu we
mpambanaj usie na uchung na kod zako
 
Wakituchia mwanya tu tuko road

Hilo ndiyo Jibu Mkuu ndiyo maana nikasema kama wameweka curfew basi Gen Z wameshinda ,je wataendeleza Curfew? Hapana lazima waiondoe na siku wakiondoa ndiyo mwanya huo wa Kukinukisha .

Hawa WAHUNI bila kutumia akili hauwaondoi ,vita vinapiganwa mezani field kwenda kukamilisha tu.
 
Sahihi!

Kwa akili zao wanadha siku ya leo ikiisha wamefanikiwa.
 
Bila Kikomo, maana yake kesho mziki unaendelea.
 
Back
Top Bottom