Hahaha mama kaingia kichwa kichwa

Hahaha mama kaingia kichwa kichwa

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,065
Reaction score
365
Mama kaweka mtego wa kumkamata muharibifu wa mwanae kakutana na pedeshee moja lenye mihela likamnunua na yeye na sasa kamnyang'anya kabisa utamu mwanae....hii ndo bongo bana
 
kama kuna aliye elewa naomba na mimi nieleweshwe pia.
 
Umejuaje kama kuna utamu kama haujaonja?. Au na wewe hilo pedeshee lilikupitia.
 
Mama kaweka mtego wa kumkamata muharibifu wa mwanae kakutana na pedeshee moja lenye mihela likamnunua na yeye na sasa kamnyang'anya kabisa utamu mwanae....hii ndo bongo bana

Kweli pesa ni sabuni ya roho
 
kama kuna aliye elewa naomba na mimi nieleweshwe pia.

Kuna mwenye hela alikuwa anatembea na mtoto, mama mwenye mtoto akaweka mtego lini amkamate sasa jamaa hilo limemtongoza mama mwenyewe sasa huyo mama amemnyang'anya mwanae mme huyo
 
Mama kaweka mtego wa kumkamata muharibifu wa mwanae kakutana na pedeshee moja lenye mihela likamnunua na yeye na sasa kamnyang'anya kabisa utamu mwanae....hii ndo bongo bana

Basi mwenyewe umeona raaha..!! Basi kama unataka kuuona Moto wa Kifo manaake nini jifanye Mbwiga kwa kumrudia kinda wake. Utaona kama Jiji hili utalikaa. Mwenzetu ndo umeshamilikiwa Hivyo.. shule yako imeishia hapo hapo.. HATUKUSAIDII NG'O!! halafu keshokutwa utakuja na sred "Jimama limening'ang'ania kama Ruba, linasema nikitimka linanigadaffi live..nifanyeje?" utakoooooma.
 
hahahaha sio mimi bana
 
Back
Top Bottom