Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Mim kiukwel sjawai kuwa single...yan toka nmejielewa..infwact...mim nilichelewa kdogo kuanza mapenz/kugonga..mim nilianza hayo mambo likizo ya kumaliza six.
Enewei ni hiv.kipind nmeanza .sikuwai pata shida ya kupata demu..hata mara1..mim ilikua siwez tongoza so najenga ukarib tu .mwisho wa siku najikuta tumeshikana shikana then ndo inakua mapenz yameanza hapo.
ila sasa nilikua napenda mademu wazur.yaan wale madem wakali...nilikua napata baadhi baadh nachemka.
Ila sasa hayo mateso yake ..wakuu si mchezo..yaan kuwa na demu mkali chuo halaf hela unategemea boom...mateso utakayopata ni makubwa.
Nakumbuka kuna dem nilikua namfata udom..natoka ud..yaan boom linaishia kwenye useng..tu...mara namu import.
Madem mapoz meng..anakukera lakin sabab mtoto mkal unakua mpole..kuna siku nakumbuka tuligombana na dem wangu m1 halaf ndo tulikua kwenye UE bas pepa ya mwisho..dem jion tumekubaliana tusuluhishane..hee..si nakuja ambiwa mida ya jion kaja chukuliwa na ndinga moja ya hatar hall 7 kule..
Yaan inshort matukio makubwa makubwa niliyapata meng...unakuta dem anakupenda..lakin sasa hela huna...bas nikawaga mim ni kuchapa yeyote alie mbele hangu.no strings hapo.
Matukio ni meng sana..siwez elezea.
Sasa now the table is turned....yaan kwa jins navyowatesa hawa watu..acheni tuu..
Kuna m1 hapa analazimisha kuja kwangu weekend hii..nmemwambia hapana ..hapa tunalumbana...ni kwamba kuna mwenzie anakuja...
Uzi tayari .(usinijudge...wanasema malipo ni hapa hapa ..na haya ndo malipo sasa)